Huyu mama anaendea kugombea hai maana jimbo lipo wazi 😅😅
Wala husemi uongo, ni mkweli kabisa.
Mimi ninachosahihisha ni unapokosea pa kuweka R na L tu.
Usikasirike, yapaswa ushukuru kurekebishwa
Hapana, Mimi si Msambaa, kama umemaanisha kabila.Sina shaka na weledi wako katika lugha wewe Msambaa