Mama Dangote kabla ya kuwa "star" alikuwa "bar maid"

Unajua alama = maana yake nini?
Tatizo kubwa la Watanzania hawana "exposure" halafu wanadharau kazi.

Kazi ni kazi iwe "barmaid" au "waitress" au nyengine yoyote.

Tena ulienda Nje kazi kama hizo ndiyo "stepping stone" ya maisha wakati wa masomo.

Wasomi wengi, wetu waliosoma nje huko na wa duniani huko wamepitia kazi hizo. Tusibeze.
 
Unajua alama ya = maana yake nini?
 
Hiyo juwa wewe tu, mimi nimekufundisha namna ya kuandika Kiswahili kwa usahihi.

Sijui kutamka kwako kama kutatengemaa hizo R na L.
Unaelewa maana ya kutengemaa???

Waswahili husema uerevu mwingi mbele kiza.
 
Hiyo juwa wewe tu, mimi nimekufundisha namna ya kuandika Kiswahili kwa usahihi.

Sijui kutamka kwako kama kutatengemaa hizo R na L.
Kwanza hata kiswahili chenyewe hukijui zaidi na zaidi unadandia dandia tu mabandiko ya watu .

Ushahidi unaoonyesha kwamba wewe si lolote wala si chochote kwenye hii lugha ni kitendo cha kuvunja miiko ya uandishi na lugha kiujumla kwa kuchanganya lugha mbili tofauti katika sentensi moja, pia kuchanganya herufi kubwa na ndogo ni ushahidi tosha kwamba hujielewi.
 
Wala husemi uongo, ni mkweli kabisa.

Mimi ninachosahihisha ni unapokosea pa kuweka R na L tu.

Usikasirike, yapaswa ushukuru kurekebishwa
 
Back
Top Bottom