mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Huko insta diamond kaisafirisha familia yake nzima kwenda Dubai bila kumsahau Mr shamte kipoozeo cha mama na dangote, Na Nzi mbeba mikoba nae muuza mchele mjini hapa shogaangu Jumalokole2 nae yupo nyuma nyuma kwenye msafara huo wa bata la Dubai.
[emoji108] Ila shamte kakaangu Ivi huon aibu umemwacha mke wako Angela anateseka mtoto ww unakula bata na hela za dimond anavozitafuta kwa nguvu zote jukwaan anatoka majasho ww unameza tu kuna siku utaombwa