Mama Dangote na Ki Ben10 chake Shamte ndani ya Dubai

Mama Dangote na Ki Ben10 chake Shamte ndani ya Dubai

Acha wivu wewe huyo ni baba ake acha aende nae c yuko na mkewe ulitaka aende na nani
 
Huko insta diamond kaisafirisha familia yake nzima kwenda Dubai bila kumsahau Mr shamte kipoozeo cha mama na dangote, Na Nzi mbeba mikoba nae muuza mchele mjini hapa shogaangu Jumalokole2 nae yupo nyuma nyuma kwenye msafara huo wa bata la Dubai.

View attachment 936627
[emoji108] Ila shamte kakaangu Ivi huon aibu umemwacha mke wako Angela anateseka mtoto ww unakula bata na hela za dimond anavozitafuta kwa nguvu zote jukwaan anatoka majasho ww unameza tu kuna siku utaombwaView attachment 936622View attachment 936623
Ukiruka hatua kadhaa za ujanani zinakufuata uzeeni na utaonekana kituko. Ndio maana mie nakula ujana sitaki kuonekana mjinga izeeni.
 
Ukiruka hatua kadhaa za ujanani zinakufuata uzeeni na utaonekana kituko. Ndio maana mie nakula ujana sitaki kuonekana mjinga izeeni.


wewe unawaz kama mm..bora ujilipue huku ujanani aisse ukifika age za kulea wajukuu unaact as a grandma haswa..mwe Mungu tusimamie...ila najis na elimu pia bwana...
bdw jina lako😂
 
Mwanamke huingia kwenye rika ambalo sii lake, kwa kuzaa mapema ama kuolewa mapema. Akiolewa mapema huchukua umri na rika la mume wake, hata kama yeye ni mdogo kiumri kimajukumu inabidi aendane na umri na majukumu ya mume wake. Watu wanamshangaa huyu dada kisa tu aliwahi kuzaa tena kamzaa mtu maarufu. Yawezekana hakuna mtu anayeshangaa mwanamke wa umri wake ambaye anakula bata, yeye tatizo ni mwanaye aliyemzaa kutokana na umaarufu na fedha na mizigo anayobeba anaonekana mkuuubwa na sasa anamzeesha mama yake. Mwacheni dada wa watu ale raha labda atapata mwenza wa maisha yake na kuepuka kundi la single mother
 
Mama Dangote Mashallah
Screenshot_20181116-202124.png
 
Back
Top Bottom