Mama Dangote na Ki Ben10 chake Shamte ndani ya Dubai

Yaan jamani wanaume tulionao tuhakikishe hawaondoki mambo gani ya kuwa na vibenten ,ambavyo sipendi tuvijana tudogo


ni wito tu my dear huo unahitajika...hata mm nilishagunduaga siwez kbs kuinteract na watoto...mara nyingi unajikuta upo kwenye mikwaruzo isio na maana kbs... yaan mtu km mm natakiwa niwe na mtu mzima alafu mtata..ningenyooka na kuwa na adabu zaidi... kuliko kijana mwenzangu๐Ÿ˜‘
 
Hahaha!Yaelekea unapenda watata au?
 
Haha!Wasikuletee hadithi za esopo,alfulela ulela na karumekenge alikataa kwenda shule

hahahahaha.... na nchi ilivyovurugwa hivi wasinichoshe zaidi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… imagine unamwambia mtoto wa 7 yrs usiniletee habari za alfulela ulela๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…atasema mom r u okey?whts that..we unaendelea kikandamiza na unafanya kama "unajikuna "hvi..huelew kitu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…so funny
 
Nimecheka kwa sauti!Ukimwambia hivyo anajifanya kama anajikuna kweli?Au anatii matamko yako?
 
Hahaa!Afadhali umejigundua.Utata wako upo katika nini hasa hadi uhitaji mtata?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wengi wanasema manengelo mkorofi.. ila kidg its true.. nikimpata mpole nitamsukumizia ndani daily... sijui utata wangu upo wapi kwakweli... thou mie ni mtu mwema kbs...
i thnk malezi..hii mm naiamini..wakat nakua mwenzangu akinipiga nikienda kushtak kwa mama anasema na ww kampige..bas mm ni mwendo wa REVENGE TU๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰...Too bad.. nimekuja gundua hyo ni mbya..nw wanangu wakipigana najivika uhakimu na kuwapatanisha..ambaye anakataa kupatanishwa namwambia sitakuletea zawad... malezi magumu sana jaman
 
Spare my ribs!Mpaka hapo wewe kweli kamanda msukumia ndani mpole yeyote.Mtata atakufaa wakati wa jua na mvua.Mwendo wa revenge tu.Umenusurikaje kuvaa gwanda?
 
Spare my ribs!Mpaka hapo wewe kweli kamanda msukumia ndani mpole yeyote.Mtata atakufaa wakati wa jua na mvua.Mwendo wa revenge tu.Umenusurikaje kuvaa gwanda?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. kadri navyozidi kuzeeka narudi kwenye mstari mwenyewe...hilo nashukuru sana sana Mungu...!mkuu gwanda ninalo ujue..tena na kadi kbs...๐Ÿ˜‚โœŒโœŒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ