Mama Dangote na Ki Ben10 chake Shamte ndani ya Dubai

Nmechekaa. Una apply vipi sasa kwa masela wako kwa mfano?


i think she was the best..bas tu naaply kwa wanangu zile discpline nilzokua napewa nawapa wanangu...lol!
mwaka jana nilienda naye mkoa fulan kwa harusi..nilijuta..alikua ananitreat km nipo secondary vile...nilikua nanuna..hapo mie nataka kuwa kama MAndela (uhuru kama wote)..akanichenjia balaa😂😂akaniambia unaenda wapi usk huu?ukipata majanga mumeo nitamwambia nn mm unataka anifunge😂😂😂😂 bas nikarudi kwenye mstari
 
Hapa mimi kicheko kama choote. Huyo anaendelea kukufaa hadi leo. Halafu wanao pia wanakuona mama mnoko. Yaani na wao wataiga unoko wako pia.
 
Juma Kalole ni kuwadi wa mamj Dai,na amempatia Mwarabu hapa Dubai,ndiyo kamletea aje mkaza,angalia ataporudi Huko Bongo,atakuwa tofauti
 
Duuu Maza ako mjeshi[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sandra kaenda na watoto wake Dubai diamond na kaka yake shamte uyo muuza mchele pozi lake tu lina mashaka
 
Write your reply...
baba ake diamond huyo, ila pesa ni khabari nyingine ona mama diamond kawa mbiichii anatafunika kabisa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…