Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Umenifanya nicheke japo umeongelea issue serious.Nakubaliana nawe.Mama aheshimiwe,wametuvumilia sana.Pole na hongera kwakuwa mama.By the way,mambo poa tu.Mwachipolopolo inakukumbusha nini mlipokuwa shule?
hahaha mama mnoko had umri huu..nakumbuka enzi hizo kuna bar maarufu moja sinza kumekucha..bas tukifika hapo meneja wa bar alishatukalili bas anaweka hziO mambo ah acha kbs