Mama Diamond aachana na ukapera apata bwana

Mama Diamond aachana na ukapera apata bwana

Nyuzi zingine za ajabu sana.Hivi huwa hamuoni aibu kuwashabikia wanaume wezenu?Diamond oh,kafanya hivi,oh, kafanya vile.Tengenezeni maisha yenu.Tabia hizo sizo.
Ni mama diamond(kendra michael) sio diamond mkuu.
 
Nyuzi zingine za ajabu sana.Hivi huwa hamuoni aibu kuwashabikia wanaume wezenu?Diamond oh,kafanya hivi,oh, kafanya vile.Tengenezeni maisha yenu.Tabia hizo sizo.
Upo sahihi mkuu hiwezekn ww mwanaume unapoamka asubuhi kitu cha kwanza ni kuhitaji kujua diamond kapost nn? Kafanya nn? Ushamba huu
 
Unajua nlikua nafanya nini nkaacha ili nifungue uzi wako?
Mwone vile[emoji19]
 
Back
Top Bottom