Mama Diamond aeleza alivyomdunda Mobeto

Kila akija Madale ni kipigo hahahah chezea Mama Mkwe bondia ww,Tununu unalo safari hii
 
Ben 10 anamkung'utia hapo hapo Madale?

Ndio maana ake,atampeleka wapi wakati Madale mkimaliza tu mnatumbukia kwenye swimming pool mnaogelea maisha yanataka nini kama sio mambo kama hayo.
 
Huyu mama hana jema alimpa kichwa hamisa azae na mondi haya sasa hamisa kichwa mpira ngoja akuchezeshe sasa ligi za kiswazi mana mganda alikushindwa
Niliumia siku ya bday ya huyo mama Hamisa alipewa kipaumbele Zari katengwa nikasema hata kama hawamtaki wasionyeshe wazi haya sasa zimwi likujualo Hamisa ongeza petrol changanya na gas kabisa
 
Domo anataka kijana mwenzake, huyu bibi vepeee?

Mbona anamfosi mtoto wake aoe wazee!
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] bibi hamtaki Zari wala Hamisa anataka mwanawe awe single tuu!maana hata Zari alishatolewaga kasoro ndo akatafutwa Hamisa(Bi Sandra muache ile kwake maana huyo nyoka yeye ndo kamfuga)Leo kamgeukia amekua mbayaa[emoji23] [emoji23] Ndo maana Dai anazidisha mahaba Mara paap dailani na cheni ya A boy from Tandale
 
Kuna dalili kubwa sana kuwa anguko la Diamond, chanzo kitakuwa na mama yake mzazi. Ni hatari pale mama anapotaka kuchukua maamuzi makubwa juu ya kijana wake ambae ameshakuwa mtu mzima.
 
Kisa?!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]kweli wivu hauna macho!!!
Huwaga napata picha wewe bonge la mzunguu yaani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie mswahili bana sio mzungu. Sina cha kumuonea wivu hamisa hata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie mswahili bana sio mzungu. Sina cha kumuonea wivu hamisa hata
Jina lako na maandishi yako unaonekanaga bonge la zungu la roho yaani!
Nakuelewa sanaa Mrs Van!

Huyu Bi Sandra bora hanaga rafiki wa kudumu kasahau yeye ndo alimleta Missa kumkomoa Zari Leo anajifanya fyokofyoko!!!mnaafiki tu hata Zari hampendi baasi tu kashatingwa
 
Ndio angemng'oa meno tuone kama ana nguvu kweli kelele zote hizo mpaka magazetini kisa kamvua wigi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Familia ile siiamini kuanzia mama, watoto na majirani ni wapenda kiki. Unaweza kuta na hii ni kiki tu waongelewe.
 
Sio wa kuwaamini hata chembe hapo ukute kiki tu ili Zari awape watoto na akithubutu kuwapa imekula kwake yule mama nyokaaa
 
Huyu mama ni wa kupiga mtu kweli?ngoja nicheke kwanza halaf ina maana kaachika kwa shamte,inakuwaje anampangia mwanae wanawake?ukiwa na mama anapenda vib10 kazi kweli,ina maana anaishi pale madale na shamte huyu mama hazimtoshi
 
Kila mtu kwake mbaya na walivyosemaga kuwa anakazana na mwanae ukute kweli sio wivu huo kwa mwanae ,huyu mama hafai kabisa karudi madale na shamte au wameachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…