Mama Diamond aeleza alivyomdunda Mobeto

Mama Diamond aeleza alivyomdunda Mobeto

Safi sana mama dangote siku nyingine piga ile mironjo hadi iende upande. Eti Pussy tamu wakati hata kitanda hujui kutandika hy pussy inaoshwa kweli. Ndiyo maana Majjiz alitimua mbio aliona demu siyo kabisaaaa.
 
Chuki ni ugonjwa wa nafsiiii in hasara kua nayoooo!!!from Khadija Yusuph
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] hii movie tamu jaman. Tununu usiachieeee shikilia hapo hapo tusikose ubuyu akina sieeee

Enzi za kigoma hatoki boiii kumbeee tununu alikua anaishi madale mujini kutamu

[emoji125] [emoji125] [emoji125] ngoja nikamshtue zari abatize akina tiffa drama ziishe
Hahahaha
 
Chuki ni ugonjwa wa nafsiiii in hasara kua nayoooo!!!from Khadija Yusuph
Hata wewe chuki unayo tena kubwa tu sema tu hujaionyesha hapa kwa maandishi. post zako huwa ni za kumdiss Zari tu hy siyo chuki umeona hii ndo chuki.
 
Hata wewe chuki unayo tena kubwa tu sema tu hujaionyesha hapa kwa maandishi. post zako huwa ni za kumdiss Zari tu hy siyo chuki umeona hii ndo chuki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilijua tu utajibu hvyoo...!!!

Halafu mi simchukii Zari wala nini!kumdiss mtu sio kumchukia Niko flexible sanaa!!
Naongeaga tu ukweli!!!
 
Kuna siri nzito sana kati ya damondo na mama yake ndio maana damondo anakosa maamuzi juu ya mama yake
 
Mama diamond kaolewa kwanini anaishi nyumbani kwa mwanae na huyo mme?

Diamond anaishi na mama na baba wa kambo je hapo madale ni kwake au kwao?

Diamond na Hamisa Kwanini wakapiganie miti hapo, Hamisa hana nyumba diamond aende? Hawawezi kwenda hata hotelini

Hii familia ina vichaa
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Hivi sheria inasemaje kuhusu mwanamke kumpiga mwanamke mwenzake?

Dawati la jinsi linaweza kutetea chochote hapo?

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom