maiko salumu
Member
- Jan 15, 2017
- 94
- 54
[emoji3]Ommy Dimpoz alisema hamjibu Dai kwa maneno mengi lakini asishangae kuna siku anaweza kumwita baba wa kambo.
Instagram kuna page nzuri tu mfano JF, BBC, CNN, ITV. Sasa wewe unawafuata hao lazima uone mbaya.mimi kijana hiyo Instagram nimeishindwa kutokana na upuuzi wake huyo mzee kakomaa nayo tu...wakitukanwa hivi wanalaumu?
Hivi hanaga mume wala bwana .........(maana shida za mwili sometimes zinaweza kukuchanganya)
VIPEPEO WEUSI EPISODE YA 3
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Du Nipo kwenye Daladala alafu nimesimama nimeshindwa kabisa kutema hayo mate ningezua ugomvi humu.tema mate chini
Fumba macho mume wangu.aibu nimeona mimi
jamani jana nilizima hadi simu maana niliona mkosi huuFumba macho mume wangu.
Mbona mimi hukunionyesha?jamani jana nilizima hadi simu maana niliona mkosi huu
mi mwenyewe nimeona aibu nitakuoneshaje wewe kipenzi changuMbona mimi hukunionyesha?
@kendra_michaelanatumia jina gani bibi tiffah kwa instagram
kendrah_michael@kendra_michael
Naona mtoto wetu amechoka kula soseji anataka Mzee wake kibarua kiote nyasi turudi kwenye unga robo maharage ya kupima..Hahahahahaaaaa nilipoona heading tu nilijua ni toto langu tundu limeshatupia mambo.
Honey umepita huku?Naona mwanetu anataka kukuharibia kibarua chako madale
cc The bold
Unga wenyewe uko wapi mpenzi wangu?Naona mtoto wetu amechoka kula soseji anataka Mzee wake kibarua kiote nyasi turudi kwenye unga robo maharage ya kupima..
Du Nipo kwenye Daladala alafu nimesimama nimeshindwa kabisa kutema hayo mate ningezua ugomvi humu.
Kwani wewe hujawahi kusikia kabisa hizi habari?!