Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaha hhaa,unakumbuka GENTA alivyomaindi wakati habar nyingine n za ukweli hahaaVIPEPEO WEUSI EPISODE YA 3
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nilicheka sanaa,Haaha hhaa,unakumbuka GENTA alivyomaindi wakati habar nyingine n za ukweli hahaa
umeshasema dada wakivaa hivyo hatushangai sasa huoni kama huyo ni Bibi?!.Kuna ubaya gani mbona yuko vizuri tu dadazenu ambiance bar wakivaa hivo hamshangai south uzunguni sio tandale acheni ale bata hela zake kuna anae mlipia kunawatu waovu humu kuliko hata iyo sket mnayo ona fupi mwisho wa siku hamjui muda gani anaongea na Mungu wake na anatubu saa ngapi msimpangie aishije kwani mnampa pumzi nyie #kokoro#
Habari za mjini zinasema mwanae anamkula.
Duh!!Habari za mjini zinasema mwanae anamkula.
mimi kijana hiyo Instagram nimeishindwa kutokana na upuuzi wake huyo mzee kakomaa nayo tu...wakitukanwa hivi wanalaumu?