Mama Diamond afunga Instagram kwa muda, wadau wamuomba Lundenga ampokee kwenye Miss Tanzania

Mama Diamond afunga Instagram kwa muda, wadau wamuomba Lundenga ampokee kwenye Miss Tanzania

Haaha hhaa,unakumbuka GENTA alivyomaindi wakati habar nyingine n za ukweli hahaa
Nilicheka sanaa,
Hivi MODS hawakukupiga BAN maana source ilisomeka hivi MIMI MWENYEWE
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
aiseee aache kufanya haya mambo.
 
Mama anakula chakula kizuri kinampa hashki anakosa wa kumsaga ongera kizaa chema

Sasa ommydimpo anaeza kugegenda, yule lbda agegendwe yy,
 
Kuna ubaya gani mbona yuko vizuri tu dadazenu ambiance bar wakivaa hivo hamshangai south uzunguni sio tandale acheni ale bata hela zake kuna anae mlipia kunawatu waovu humu kuliko hata iyo sket mnayo ona fupi mwisho wa siku hamjui muda gani anaongea na Mungu wake na anatubu saa ngapi msimpangie aishije kwani mnampa pumzi nyie #kokoro#
umeshasema dada wakivaa hivyo hatushangai sasa huoni kama huyo ni Bibi?!.
 
Kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka
Mwendo na shepu vyote mwanana Mimi suruari yanidondoka
Tukimbizane nini salome wangu? Iyo michezo ya jogoo
Mbona watizama chini salome wangu Ukimuona jongoo
Inama kidogo shika magoti
Nimesimama kama ngongoti Mtoto jojo sio roboti
Chumbani bingili bingili sambasoti
 
Mwacheni mama wa watu ale mema ya nchi,
ni nani ambaye mwanaye angefikia hatua hiyo asingejiachia;
kakosea wapi,
na angevaa kaptula mngesema nini,
wivu tu hakuna jipya.
 
Yaani ukiwa mama ndio usitinge viwango?lol ndio maana michepuko haishii kisa hamlipuki na viwalo kama mama Dai [emoji4][emoji4]
 
mimi kijana hiyo Instagram nimeishindwa kutokana na upuuzi wake huyo mzee kakomaa nayo tu...wakitukanwa hivi wanalaumu?

Upuuzi ni upi wakati unapewa uhuru wa kuchagua yapi ya kujihusisha nayo? Una full control ya nini na nani uwaone.
 
Back
Top Bottom