Mama Diamond afunga Instagram kwa muda, wadau wamuomba Lundenga ampokee kwenye Miss Tanzania

Ukiona jamii inazungumzia nguo ujue bado sana. Nimehudhuria pia makanisa ya wenzetu nguo sio issue hapa kwetu watu wanahusianisha nguo na tabia bado kazi tunayo. Mother hivi ss ana exposure amesafiri ameona na yeye ametamani kujiachia si kosa kabisa kwa upande wangu achane ale vya mwanae.
 
Mama mondo punguza jazba basi
 
Ficha ujinga wako umeumia sehemu gani alivo vaa hivo kuna nguo zimeandikwa za wabibi na vijana[emoji53] [emoji53] [emoji53]

Sent from my HUAWEI CAM-L21 using JamiiForums mobile app
Tutumie picha ya mama ako akiwa amevaa kama huyo bibi hapo juu.

Alafu ndio utajua kati ya mimi na wewe nani anaepaswa kuficha ujinga wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…