Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana namba yake af anabadilisha sana namba yuleHivi kwani lazima kupokea simu ya SHILAWADU na kuendeleza mazungumzo ?
Mwanangu ndio maana ya journalist na huyu yupo kitengo cha paparazzi kwahyo ata umpige ngumi hawezi acha hahahaYaani mtu kuanza tu mahojiano umeisha itwa mnafiq na mmbeya kama mara tano hivi kila baada ya sentensi tatu unaitwa tena mnafiq kweli na weye bado unapata nguvu ya kuendelea na kuhoji!
Mwacheni azae ajaze kijiji umalaya haujawahi mwacha mtu yeyote salama
SHILAWADU NAO WAMEZIDI
Wala hata sio double ID mkuu..umefananisha tuWakuu nyi mapacha mbona mmefanana au double ID
Asa kumbee[emoji3][emoji3][emoji3]unamaanisha kipindi kisitishwe!
[emoji3][emoji3]Asa kumbee
Duh! kazi zingine yataka moyo!Mwanangu ndio maana ya journalist na huyu yupo kitengo cha paparazzi kwahyo ata umpige ngumi hawezi acha hahaha
Lakini mpaka uwe unaipendaDuh! kazi zingine yataka moyo!
Hapana swaiba pana kazi mpaka ujitoe ufahamu ndio waweza kuifanya bimkubwa alianza kupeleka mashambulizi toka sekunde ya kwanza na aliendelea kwa kasi ile ile mpaka mahojiano yanakwisha pa mchezo hapo?Lakini mpaka uwe unaipenda
Anechoka na upuuzi tena toka kwa mtoto wa kiumeHapana swaiba pana kazi mpaka ujitoe ufahamu ndio waweza kuifanya bimkubwa alianza kupeleka mashambulizi toka sekunde ya kwanza na aliendelea kwa kasi ile ile mpaka mahojiano yanakwisha pa mchezo hapo?
Hii fani ilikuwa ya jinsia nyingine eti leo shababi ndio anakuwa kiongozi na hata hao wenye fani yao wanategemea kupata khabari toka kwake. Ingawa si wote wenye jinsia hiyo ila %kubwa lilifahamika hivyo.Anechoka na upuuzi tena toka kwa mtoto wa kiume