Mama Diamond amchenjia Soudy Brown hadi akakosa pozi

Wacha aendelee kubambikiwa
Wajukuu kaz yake kulea dam za wenywe
 
Yaani mtu kuanza tu mahojiano umeisha itwa mnafiq na mmbeya kama mara tano hivi kila baada ya sentensi tatu unaitwa tena mnafiq kweli na weye bado unapata nguvu ya kuendelea na kuhoji!
 
Teh teh... Angepewa za uso asingerusha hewani.
 
Lakini mpaka uwe unaipenda
Hapana swaiba pana kazi mpaka ujitoe ufahamu ndio waweza kuifanya bimkubwa alianza kupeleka mashambulizi toka sekunde ya kwanza na aliendelea kwa kasi ile ile mpaka mahojiano yanakwisha pa mchezo hapo?
 
Anechoka na upuuzi tena toka kwa mtoto wa kiume
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila Soudy Kwa hili la SHILAWADU .. Alikua mbunifu.
 
Anechoka na upuuzi tena toka kwa mtoto wa kiume
Hii fani ilikuwa ya jinsia nyingine eti leo shababi ndio anakuwa kiongozi na hata hao wenye fani yao wanategemea kupata khabari toka kwake. Ingawa si wote wenye jinsia hiyo ila %kubwa lilifahamika hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…