Mama Diamond awamwaga watu machozi kutokana na picha za misukosuko aliyopitia mwanae

Usione watu wana-drive mikoko na kuishi kwenye nyumba za kifahari ukadhani walizaliwa nazo. Maisha ni kulanga na kuchagua.
 
Nini kinawashangaza? Mbona watanzania wengi maisha yao ni hivi tu..au kwakuwa ni msanii
Aliyelizwa na hizi picha akapimwe akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…