Mama Diamond awamwaga watu machozi kutokana na picha za misukosuko aliyopitia mwanae

Mama Diamond awamwaga watu machozi kutokana na picha za misukosuko aliyopitia mwanae

Maisha ni safari ndefu kila mmoja ana magumu aliyopitia hadi kufika alipo jambo jema anatakiwa kumshukuru Muumba wake na kuwa karibu na waliomsaidia kumwongoza
 
Hakuna jambo la kushangaza hapo.

Kama huyo aliekulia mjini mnasema kapitia maisha magumu ya kutoa watu machozi itakuaje yule aliekulia kijijini Kutwa kucha na jembe asiejua hata gari linafafanaje?!

Hao waliolia ni wanafiki wakubwa na inawezekana wanatafuta Kiki.
 
Ha haa haa aisee kumbe alikua na hlo domo tangu utoton
 
Aah!! Chakumliza mtu hapo nini? Walio lia machozi sio timamu, zitakuwa haziwatoshi
 
Kuwa na mama mswahili namna hii ni shida sana.
 
Back
Top Bottom