Mama Diamond awamwaga watu machozi kutokana na picha za misukosuko aliyopitia mwanae

Mama Diamond awamwaga watu machozi kutokana na picha za misukosuko aliyopitia mwanae

Watu wengine mavi kweli yani nchi kama tanzania nishida hakuna vitu vya maana kama elimu maji barabara bidhaa kupanda bei kiolela mambo kibao mtu anaandika maupumbavu mida mingine mnaboa sana wasengelema nyie hata familia zenu mnazifatilia kama hao wasenge wenzenuu nyambafuuuuuu
Kumbeee!! Jaribu kusubscribe kwny jukwaa la siasa , nafikiri kuna mengi utayakuta huko, hata me pia nashariki kwny majukwaa mengne jf, xo fanya tukutane huko
 
Kinachowaliza hapo nini? Kila mtu ana background yake,vidole havilingani. Acheni ujinga na team yenu
 
Kwmb mitandao ya kijamii inanyumba na magari ambayo watumiaji wa social network wanaishi, et!!!!!
Hujakosea kwa Tafsiri Yako pia ila kwa maisha HaYo Ya diamond kusema kwamba ametoka hohe hahe mbwa kachoka mnawakosea watu waliotoka pangu pakavu
 
Ama kweli mchumia juani hulia kivulini, tucwe wepesi kujaji mafanikio ya mtu bila kujua aliyopitia, tazama picha hizi ujifunze kitui
efbcc517147581885d6c0d5bbdc11cd5.jpg
5aff4a250943399e48cba9cbcf0e8546.jpg
9f416e6febdb49f73b9b517137578ad4.jpg
0d917eab7601a58c0c4b8bad93dbb777.jpg
643904dbf4a93fcf306f7a28a47d1bd7.jpg
c6d4f066b559d0a1f1455c08101a0962.jpg
hizo picha za misukosuko na hayo machozi yako wapi?
 
Sijaelewa chochote hapa.
Unamaanisha kuwa na sie tuweke picha zetu za utotoni hadi hapa tulipo.
Wengine apa tukiweka picha za utotoni na za sasa utakachoona ni kwamba picha za utotoni tulikuwa peku na za sasa tumevaa ndala
 
Back
Top Bottom