Mama Diamond awamwaga watu machozi kutokana na picha za misukosuko aliyopitia mwanae

Mama Diamond awamwaga watu machozi kutokana na picha za misukosuko aliyopitia mwanae

Ama kweli mchumia juani hulia kivulini, tucwe wepesi kujaji mafanikio ya mtu bila kujua aliyopitia, tazama picha hizi ujifunze kitui
efbcc517147581885d6c0d5bbdc11cd5.jpg
5aff4a250943399e48cba9cbcf0e8546.jpg
9f416e6febdb49f73b9b517137578ad4.jpg
0d917eab7601a58c0c4b8bad93dbb777.jpg
643904dbf4a93fcf306f7a28a47d1bd7.jpg
c6d4f066b559d0a1f1455c08101a0962.jpg
Hivi unawajua walio pitia maisha magumu au unatania? ukicheki hizo picha unaona kabisa diamond alipata malezi bora kabisa na matunzo safi dogo anapendeza ana afya anapiga pamba za kiwakati huo halafu useme kapitia maisha magumu EBO! kutelekezwa au kupata malezi ya mzazi mmoja sio kigezo cha kupitia maisha magumu.....acheni ushabiki wa kokoro kufyonza kila kitu hta km ni kinyesi.......

Despite of my my comment,i have only one lesson to learn "kutokata tamaa,bidii na maarifa ndio msingi wa mafanikio" only that.
 
Maisha yalikuwa ya Mtanzania wa kawaida. Maisha magumu! Machozi hayajanitoka nitakuwa na roho mbaya sana.
 
Machozi kabisaa!!
Mnajua kuyakuza nyie!!!
Kuna mdau mmoja aliwahi kusema "watanzania wape picha tu, story watatunga wenyewe [emoji1] [emoji1] ndo iyo sasa michozi mwa! Mwa! Mwa...!!" Utadhani Diamond ndio mtanzania wa kwanza kupitia maisha ya dhiki na taabu nahatimaye kufanikiwa
 
Mbona picha nzuri tu hapo? Kumbe hajaishi maisha ya umaskini na shida kabisa huyu. Hivi tungeweka zetu za kule kijijini na maisha ya changamoto sijui mngesemaje? Ulishawahi kwenda shuleni peku kabisa wewe? Unaingia choo cha shule peku kabisa? Unavaa uniform wiki nzima hujafua si kwa kuwa wewe ni mchafu ila kwa kuwa hakuna maji na sabuni? Ulishafulia magadi wewe? Hakuna cha machozi hapa mimi naona yuko poa tu.
 
Kuna mdau mmoja aliwahi kusema "watanzania wape picha tu, story watatunga wenyewe [emoji1] [emoji1] ndo iyo sasa michozi mwa! Mwa! Mwa...!!" Utadhani Diamond ndio mtanzania wa kwanza kupitia maisha ya dhiki na taabu nahatimaye kufanikiwa
Ni Tanzania pekee, unamwambia mtu jinsi umeteseka katika maisha na yeye hapo hapo anajibu
"haujateseka kuliko mimi"

Utafikiri kuteseka ni mashindano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni Tanzania pekee, unamwambia mtu jinsi umeteseka katika maisha na yeye hapo hapo anajibu
"haujateseka kuliko mimi"

Utafikiri kuteseka ni mashindano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acheni kufananisha machozi Na vitu vya kipumbavu. Ukiona pocha za maisha aliyolelewa eminnem ndo unaweza lengwa Na machoz kwa mbali. Ukikosa picha angalia tu video yake ya I AM SORRY MAMA.
 
Sasa hizo
Kama unahistoria yenye ushawishi na inayopaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa watu wengne na umeweza kufanikisha kwa kiasi kikubwa, basi fanya kuanzisha thread yako
picha zina historia gani ya kuwatoa watu machozi? Mi naziona za kawaida kabisa.
Wenye historia ya kuwatoa watu machozi wengi wao hawana hata picha za kuonyesha.
Anyway, huenda maneno aliyosema Mama Naseeb labda yaliwagusa, bahati mbaya hapa tumewekewa picha na si maneno aliyosema.
 
Back
Top Bottom