miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Kila la kheriSafari kwenda mbele....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheriSafari kwenda mbele....
I hope sio SAFARI LAGER.maisha ni safari
Nchini tanzaniaI hope sio SAFARI LAGER.
Siamini kama Xmass imepita na umejikausha kau. Sa mimi za NY nakuletea mpaka getini, acha salamu kwa Mmsai wako.Nchini tanzania
Ha ha ha karibu sanaSiamini kama Xmass imepita na umejikausha kau. Sa mimi za NY nakuletea mpaka getini, acha salamu kwa Mmsai wako.
Tutakiane wote....Kila la kheri
Siamini kama Xmass imepita na umejikausha kau. Sa mimi za NY nakuletea mpaka getini, acha salamu kwa Mmsai wako.Nchini tanzania
Ha ha ha karibu sana
Sijaelewa chochote hapa.
Unamaanisha kuwa na sie tuweke picha zetu za utotoni hadi hapa tulipo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anayelia maji yamemzidia mwilini maana hakuna chakuliza hapo
Huyu jamaa atakuwa mshabiki wa team, si bure.Nashangaaa
Da! Umenifurahisha sana nduguWanaume na wanawake wa Dar mkuu ndo yao.
Huku mikoani tunawaza mvua wao wanawaza haya.
Na,sku moja utafkamaisha ni safari