Mama Diamond hayajampita ya Hamisa na Zari.

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Baada ya kuona vijembe vikiendelea na maneno kuwa mengi kwenye mitandao ya kijamii kati ya Hamisa Mobetto na Zari na kuonekana kama upande wa Diamond Platnumz unadaiwa kuwa umeamua kumsapoti Zari kutokana na kile kinachoendelea kati ya Zari na Hamisa Mobetto



Ila kwa upande wa mama yake Diamondameonekana pia kuendelea kumsapoti Zarikwa kipindi hiki ambacho Zari anarushiana vijembe na Hamisa, mama Diamond kaamua kupost picha ya Zari na Diamond na kuandika caption inayosema “Dawa ya MBU anayeambukiza MALARIA si kumpiga bunduki ni EXPEL tu”

 
Mwacheni mama ale ujana!maana inaonekana akiwa na miaka 13 tu akazaa na kuanza kulea sasa hakula ujana vizuri lazima kila sehem atataka ajulikane yumo!akishazaa tena atatuliza mtori
 
Nchi yeyenyewe mtu mmoja hatak kuambiwa kama tofali limekaa pemben nyumba itapinda mwishowe iwabomokee mfie ndani
hajui kama kwenye nchi amebeba tela la watu....angelikuwa anaishi peke yake sisi tupo sayari ingine tungemwacha tu angejijua mbele ya safari...lakini sisi tumo humohumo tuache tu mtu asishauriwe ili tuangamie wote? yeye ni malaika hakosei?
 
Mwacheni mama ale ujana!maana inaonekana akiwa na miaka 13 tu akazaa na kuanza kulea sasa hakula ujana vizuri lazima kila sehem atataka ajulikane yumo!akishazaa tena atatuliza mtori
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…