radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Baada ya kuona vijembe vikiendelea na maneno kuwa mengi kwenye mitandao ya kijamii kati ya Hamisa Mobetto na Zari na kuonekana kama upande wa Diamond Platnumz unadaiwa kuwa umeamua kumsapoti Zari kutokana na kile kinachoendelea kati ya Zari na Hamisa Mobetto
Ila kwa upande wa mama yake Diamondameonekana pia kuendelea kumsapoti Zarikwa kipindi hiki ambacho Zari anarushiana vijembe na Hamisa, mama Diamond kaamua kupost picha ya Zari na Diamond na kuandika caption inayosema “Dawa ya MBU anayeambukiza MALARIA si kumpiga bunduki ni EXPEL tu”