sintah
Senior Member
- Aug 18, 2013
- 187
- 190
Kwa habari zilizotufikia za chini ya kapeti inasemekana tayari pale madale wameshatafuta ushauri wa kisheria ni jinsi gani watamtia hatiani kijana pozi kwa pozi,
Kwa kile kinachodaiwa ni post yake ya jana iliyochafua hali ya hewa huko instagram. Chanzo pia kinadokeza zoezi hilo linaratibiwa kwa karibu sana na DAB ambaye ameoneka kuchukizwa sana na post ile
Mnaonaje safari hii kijana wetu kipenzi atasalimika kweli
Updates:
Tayari ommy dimpozi ameshaitwa kituoni na kuhujiwa kwa masaa takribani manne kuhusiana na hilo sakata