Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

sintah

Senior Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
187
Reaction score
190
Kwa habari zilizotufikia za chini ya kapeti inasemekana tayari pale madale wameshatafuta ushauri wa kisheria ni jinsi gani watamtia hatiani kijana pozi kwa pozi,

Kwa kile kinachodaiwa ni post yake ya jana iliyochafua hali ya hewa huko instagram. Chanzo pia kinadokeza zoezi hilo linaratibiwa kwa karibu sana na DAB ambaye ameoneka kuchukizwa sana na post ile

Mnaonaje safari hii kijana wetu kipenzi atasalimika kweli


Updates:

Tayari ommy dimpozi ameshaitwa kituoni na kuhujiwa kwa masaa takribani manne kuhusiana na hilo sakata

 

Anamshtaki na ' Kubanduana ' nae au kwanini ametoa ' Siri ' yao ya ' Kubanduana ' hadharani?
 
DAB anahusika vipi katika mambo hayo.Tupe ushahidi na utuambie anahusika vipi.Maana nishachoka na habari za umbea wa vijana wa kitanzania.
Afu kwa nini kila jamaa akitaka kutoa wimbo wanatafuta kiki kupitia chibu?
Nani huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…