Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Dimond na Familia yake wamepingwa Instagram wakienda mahakamani watapingwa tena akili ziwakae sawa.

Ugomvi wanaanzisha wao mwisho wanakimbilia police.

kama wana uwezo wa kuthibitisha kuwa "Mimi ni baba ako" ni tusi basi waende mahakamani.
 
DAB anahusika vipi katika mambo hayo.Tupe ushahidi na utuambie anahusika vipi.Maana nishachoka na habari za umbea wa vijana wa kitanzania.
Afu kwa nini kila jamaa akitaka kutoa wimbo wanatafuta kiki kupitia chibu?
Umbea na udaku ndio chakula kikuu cha vijana wa kitanzania.
 
Anamshtaki na ' Kubanduana ' nae au kwanini ametoa ' Siri ' yao ya ' Kubanduana ' hadharani? Mama Diamond ni Kielelezo tosha cha akina Mama baadhi ' Mapopoma / Wapumbavu ' wanaopatikana katika Jangwa la Kusini mwa Afrika.
Umenena vyema,kunabpopoma lingine lakiume nililiona siku ya tuzo za ndondo cup,lilivua sarawili likabaki na kigauni halafu likawa linakata viuno mbele ya Rizi one.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaa kizazi changu kinaangamia kwa kukosa maarifa pozi kwa pozi ndo babu wa tifa
acha wapiganeeee


na Ommy nae akimshtaki Domo kwa kumuita shoga live redioni na kwenye nyimbo mtu asilie....

acha wengine tule ubuyu tu...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata akisema baba yako namdate mama yako, napo si kosa

invest what you are willing to lose
 
Sababu za kumshitaki??kama ni hii habari chini basi hazina mashiko na wasijisumbue! Kwani hapo sheria ni kutafsiri sasa watakuwa wametafusiri vibaya.



Samsung SH 8 Mobile Traveller
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…