Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Anamshtaki na ' Kubanduana ' nae au kwanini ametoa ' Siri ' yao ya ' Kubanduana ' hadharani? Mama Diamond ni Kielelezo tosha cha akina Mama baadhi ' Mapopoma / Wapumbavu ' wanaopatikana katika Jangwa la Kusini mwa Afrika.
Anataka akadhibitishe mahakamani lini alikula tunda lake.!
 
Waacheni wampe kula Shigongo azid kuuza magazet yake bwana...watajijua na familia zao,ndo tatizo la kulelewa kiovyoovyo
 
Umenena vyema,kunabpopoma lingine lakiume nililiona siku ya tuzo za ndondo cup,lilivua sarawili likabaki na kigauni halafu likawa linakata viuno mbele ya Rizi one.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo ' Jamaa ' nina Mshikaji wangu mmoja anaishi nae huko aishipo anasema ni ' mwendo ' fulani hivi halafu ' anabanduliwa ' mno Mkewe hadi Watoto zake wawili kati ya Watatu alionao ' Wanamume / Masela ' wamemsaidia kuwaleta duniani.
 
Yote haya aliyataka Domo.
Nasubiria verse ya pili[emoji23][emoji23][emoji23] ajifunze asitukane wakubwa zake
Mange ashamuanika benten wa bi mkubwa[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyo ' Jamaa ' nina Mshikaji wangu mmoja anaishi nae huko aishipo anasema ni ' mwendo ' fulani hivi halafu ' anabanduliwa ' mno Mkewe hadi Watoto zake wawili kati ya Watatu alionao ' Wanamume / Masela ' wamemsaidia kuwaleta duniani.
Yaani nimejitahidi kurudia rudia lakini code yako imenishinda ebu irahisishe kidogo nipate mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ehe! Huyu mama kaenda kuolewa??na Ben10 kweli mama wa Tandale si wakuwekea dhamana [emoji21][emoji21]

Samsung SH 8 Mobile Traveller
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…