Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu Salaam Sana
Mimi Nilikua shabiki mkubwa wa Diamond Platinums Baada ya uswahili na uanakijiji uliopitiliza wa Mama yake kujianika privacy zao kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana familia yake hawajiheshimu nimeacha kumshabikia Mond na nimeshachoma kazi zake zote za kwake nilizonunua , mliobaki kama mashabiki zake mwelezeni aige mfano hata kwa wasanii wengine wakubwa ambao mama zao hawatukani hovyo kwenye mitandao ya kijamii.
 
khaaa.. sasa we unamfuatilia huyo mama ndio muimbaji.. ndo anapandaga strjini kukuburudisha? .. kwanini usi concentrate kwa diamond tu.

hata hvyo usipomshabikia sisi tutafanya hvyo..

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mkuu mfuatilie inst. Mama niwe wazi kwa maadili Yale angenizaa ningemkana mswahili hatari , na Nadhani akina diamond Ni tabularassa familia nzima
HIVI ZARI ALIEACHA MUME NA WATOTO NA KUJA KUZINI TZ NANI WA AJABU.MUACHE MAMA WA WATU WIVU WAKO TU UTAKUUA
 
khaaa.. sasa we unamfuatilia huyo mama ndio muimbaji.. ndo anapandaga strjini kukuburudisha? .. kwanini usi concentrate kwa diamond tu.

hata hvyo usipomshabikia sisi tutafanya hvyo..

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Unataka aniburudishe? Wewe koboko hupendi ujinga
 
Unaweza kutoa Mswahili Uswahilini, lakini huwezi kutoa Uswahili kwa Mswahili. Hata umpeleke Washington DC umpe utajiri wa Oprah bado ataishi Kiswahili.
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…