Kila mtu aishi maisha yake,tusiwe wepesi sana kuhukumu kupitia hii mitandao....hakuna aliyekamilika,leave them with their drama coz hazituathiri chochote ktk maisha yetu!!
Nawashangaa watu wanatokwa poooooovu kisa maisha ya diamond,b4 hujapovuka jiulize yanakuhusu?! Au yanakuathiri kivipi?! Watz bwana,Mungu atusaidie kuukomboa wakati,ishi kama leo ndo siku ya mwisho ya uhai wako,hope u wouldn't spend it dis way(kutukana watu ovyo) mara elf ulalamike khsu viongozi wako sio maisha ya mtz mwenzako ambaye unamuona tu kwenye media wala hata hakujui na huna faida kwakwe hata ukifa leo ye maisha yatasonga tu (muache ushabiki uchwara)