Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

Kila mtu aishi maisha yake,tusiwe wepesi sana kuhukumu kupitia hii mitandao....hakuna aliyekamilika,leave them with their drama coz hazituathiri chochote ktk maisha yetu!!



Nawashangaa watu wanatokwa poooooovu kisa maisha ya diamond,b4 hujapovuka jiulize yanakuhusu?! Au yanakuathiri kivipi?! Watz bwana,Mungu atusaidie kuukomboa wakati,ishi kama leo ndo siku ya mwisho ya uhai wako,hope u wouldn't spend it dis way(kutukana watu ovyo) mara elf ulalamike khsu viongozi wako sio maisha ya mtz mwenzako ambaye unamuona tu kwenye media wala hata hakujui na huna faida kwakwe hata ukifa leo ye maisha yatasonga tu (muache ushabiki uchwara)
I agree with you ma dia
 
Wakuu Salaam Sana
Mimi Nilikua shabiki mkubwa wa Diamond Platinums Baada ya uswahili na uanakijiji uliopitiliza wa Mama yake kujianika privacy zao kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana familia yake hawajiheshimu nimeacha kumshabikia Mond na nimeshachoma kazi zake zote za kwake nilizonunua , mliobaki kama mashabiki zake mwelezeni aige mfano hata kwa wasanii wengine wakubwa ambao mama zao hawatukani hovyo kwenye mitandao ya kijamii.
Dah! Huyo mwanamke hana chembe ya staha mafanikio ya mwanawe yame muwehua hajifai.
 
Nanukuu ..... "Hata maisha ya diamond sisi mashabiki haturuhusiwi kumpangia ...." mwisho wa kunukuu ......

Naseeb ni miongon mwa wasanii ambao ni KIOO CHA JAMII ..... maisha yake yana-affect ama POSITIVELY au NEGATIVELY kwa kiasi kikubwa sana jamii inayomzunguka na pia inayofuatilia kazi zake .....

So he should be not only CAREFUL, KEEN, WISE but also SELECTIVE for whatever he does or says ..... by so doing his fans especially youth will be POSITIVELY affected ....
Upo sahihi sana mkuu.
Wiki chache zilizopita Diamond alihojiwa na Dula ktk Planet Bongo akaongelea ni kweli ametoboa pua ila Mungu hajapenda atoboe pua sababu baada ya mfungo wa ramadhani pua iliziba kwa hiyo akaona hamna haja ya kuitoboa tena.

Aliongezea kusema hayo ni mambo yake binafsi mashabiki hayawahusu ni kumuingilia katika maisha yake.
Nilinyong'onyewa mkuu mpk leo bado sijaamini kama ni yeye ametamka maneno hayo. (Vijana wa kiume wakianza kutoboa pua kupitia kioo hiki cha jamii itakuwaje baadae)
 
Hii haina tofaut na;
.simpend mondi,
..kwann?
.Anadhalilisha wanawake.
..Kamdhalilisha nan
.Alimrecord wema wakat alivyokua na penny.

Support kazi yake, tabia yake muachie mwenyewe. Mapenz ya kumpenda m2 mpk maisha yake binafsi huo upendo bora ukaipende familia yako. Yule bibi ndio mswahili lkn sio ticket ya kuacha kumfatilia mondi kisa mama ake.
 
Ila mashabiki wa Zari/ Mondi hawafanyi poa kumtukana mama yake Dai. Wakumbuke kwamba yule ni mzazi wake Dai, kumtukana ni kusababisha maumivu makali kwa Dai japo hawezi kukiri hadaharani.
Hata kama mzazi akiwa tabullarasa kiasi gani, huwezi kufurahi kuona akitukanwa. Na si kila wakati unaweza kumuamulia mzazi nini cha kufanya.
 
Back
Top Bottom