Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

Sio kutia aibu tu hajiamini na hajielewi eti hasikilizwi
Mama anamtaka hamisaa,mind ana mtaka zari,hahaha mama anaona hapo hasikilizwi,mwanae kachoka kubandua bandua
 
Ukisikia umaarufu na power ya umaarufu ndo hii

mama na dada wote wanakuwa marufu pia
hadi michepuko...

yoyote ataetangazwa kutembea na Diamond kesho anajikuta na followers nusu milioni
Hii management ya Diamond imeshindwa kuzuia hii shida-kadri siku zinavyoenda its becoming worse,huyu mama akubaliane na hali halisi-sijui nani alimfundisha hizi social website-aangalie sana Adebayo the footballer yalimkuta kama haya ikabidi autangazie ulimwengu kwamba mama yake ni mchawi
 

Umaarufu umekuwa mkubwa kuliko uwezo wao wa ku handle....
 
Wizkid, Ali Kiba , Jose chameleon, Fally Ipupa, Ferre Gola, AY , Yemi, Davido, AK mbona mama zao hawatukani na kujivua nguo kama sanula
Mkuu huku mbali mno we jiulize tu ivi yule mama wa zari hana smartphone mbona hatujawahi kumuona mitandaoni lakini uyu lekibibi gagulaz kutwa mitandaoni anamtilia aibu mwanae naumia yale matusi ambayo vichaa wanaporomosha lakin hakuna namna kachagua kuishi hivo
 

Wakulaumiwa mwanae ndio alimuweka huko na kumfanya kama wengine hawana mama hawawapendi... D kila mda ni kumsifia mama yake kwenye mitandao matokeo ndio hayo...
 
Wakulaumiwa mwanae ndio alimuweka huko na kumfanya kama wengine hawana mama hawawapendi... D kila mda ni kumsifia mama yake kwenye mitandao matokeo ndio hayo...
Uko sahihi mkuu mama yule Ni kijipu uchungu cha matakoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…