Mama Diamond Platnumz (Bi Sandra): Hatukuoana ili tuachane

Hii couple naona aibu Mimi ...

Sijui Diamond huko yeye anaonaje aisee
Hapana.diamond hawezi kufanya chochote.huyo NI mama yake.
Hauwezi kuingilia mahusiano ya mama yako kikubwa Kama kaolewa.
ila anko itakuwa anagonga Sanaa tunguri
 
ila majina ya waandamizi wa WCB hayaendani na dini zao,ni AKA ama nini!!

ricardo momo.
rommy jones
rally jones
sandra michael
Nadhani ni wakristo wanaomfuata udini Nasib Abdul kwakua ndio icon ya ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…