Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Yaan ako so proud of his mama's husbandHii couple naona aibu Mimi ...
Sijui Diamond huko yeye anaonaje aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan ako so proud of his mama's husbandHii couple naona aibu Mimi ...
Sijui Diamond huko yeye anaonaje aisee
Kwa kweli inasikitisha mno..kumbe alimla kweli?Ni kweli kabisaaa
Ilikua hivyo [emoji23][emoji23]
Mmmmh babu wee muongo lol. [emoji23][emoji23]Ndio ukuje sasa. Nikichoka shauri zako
Morogoro hyoooHivi uncle shamte ni mwenyeji wa mkoa gani?
Maana anatia aibu sana
Moro town!!!!Hivi uncle shamte ni mwenyeji wa mkoa gani?
Maana anatia aibu sana
Kwa hiyo yuko above 55 auMkuu,hizo ni kamera tu zisikudanganye,tunakutana nao huko sinza kila siku,huyo mama ni mtu mzima kabisa na ngozi imeanza kukunjamana.
Diamond anawalea woote,mirija tu ampe hela mama ,mama ampe huyo mario mario akagawe kwa michepuko kadhaa.Eti kumlea bi Sandra au yeye ndo analelewa?🤣
Kwa kumuangalia anakaribia 60.Kwa hiyo yuko above 55 au
Anko kashatimuliwa. Chezea utegemezi weweMwacheni uncle shamte ajilie vinono JAMANI[emoji4]