Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee

We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi

Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao

Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma

Screenshot_2018-06-04-22-45-45.jpg
 
Hamna kazi za kufanya nyie!
 
Ma-maza bingwa wa kusafiria nyota za watoto. Sipati picha kama kila mama mwenye mtoto al-maarufu angekuwa mbwatukaji. sisi akina hohehahe tungechimba chini tujifukie
Heheheh nakumbuka kuna mmoja mtoto wake alipata cheo kikubwa ,yule mama akawa anawatambia wenzake eti sisi ndio tulizaa
 
Huyu Mama yupo kwenye project ya WCB ya kuhakikisha Kila Mtu anaongelea familia Yao Na kweli wamefanikiwa

Huyu Mama kishakuwa Mjasiriamali Kama Zari, tukiwajadili
Kwa kuwasifu Au kuwa Ponda ndio target

Nani Tena anaongelea Harusi ya Ally Kiba?
Hii Ni Marketing strategy
 
Basi wanatumia vibayaa kudhalilishana
 
Back
Top Bottom