Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

mtoa mada inaonyesha ukiwa namtoto wa kike utakuwa una mgawa
 
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee

We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi

Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao

Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma

View attachment 794274
huyu mama ni punguani
 
Back
Top Bottom