Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]yaani wewe humpendagi zari ndo maana unamuwaza huyo mama kuliko mmeo
huyu mama ni punguaniHuyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee
We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi
Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao
Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma
View attachment 794274