Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Awachambe kidogo,halaf sasa mapenzi ya hivi huwa yananoga balaaaHamisa hii legue waachie watandale mnakoenda ni kuaibishana.
Ninasikia Babu Tale ametumwa kupeleka salamu SouthAnopheles wewe
Mapenzi ya hivi yanawafaa wakini Naviwe na HavijawaAwachambe kidogo,halaf sasa mapenzi ya hivi huwa yananoga balaaa
Yes yaan hapo usiku wa dai na misa unanoga haswaMapenzi ya hivi yanawafaa wakini Naviwe na Havijawa
Anamtuma babu tale kama sio dharau nini kwanini asimtume mama yake,au kaona mama ana mdomo sanaNinasikia Babu Tale ametumwa kupeleka salamu South
Heheheh nakumbuka kuna mmoja mtoto wake alipata cheo kikubwa ,yule mama akawa anawatambia wenzake eti sisi ndio tulizaaMa-maza bingwa wa kusafiria nyota za watoto. Sipati picha kama kila mama mwenye mtoto al-maarufu angekuwa mbwatukaji. sisi akina hohehahe tungechimba chini tujifukie
Nawe huna ndio maan upo hapaHamna kazi za kufanya nyie!
Hana tu adabuMaisha yao yanategemea nyie wa umbea mnavyo wadiscuss hivi... Nimeitikia wito tu wa kucomment
Basi wanatumia vibayaa kudhalilishanaHuyu Mama yupo kwenye project ya WCB ya kuhakikisha Kila Mtu anaongelea familia Yao Na kweli wamefanikiwa
Huyu Mama kishakuwa Mjasiriamali Kama Zari, tukiwajadili
Kwa kuwasifu Au kuwa Ponda ndio target
Nani Tena anaongelea Harusi ya Ally Kiba?
Hii Ni Marketing strategy
Mtu mzima kama wewe kuwa mbea siyo vizuri![emoji53][emoji53]Ninasikia Babu Tale ametumwa kupeleka salamu South
Umemzaa?Mtu mzima kama wewe kuwa mbea siyo vizuri![emoji53][emoji53]
KumbeeeMtu mzima kama wewe kuwa mbea siyo vizuri![emoji53][emoji53]
Hivi Mama Sabrina chura ipo?[emoji28][emoji28][emoji28]Umemzaa?