Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

Hakika Diamond na Familia yake wanajua kufanya biashara....
 
Sema tu kwa sababu ya mama Dai yapo IG, ila ukweli ni kwamba wamama wengi wa watoto wa kiume wanapenda ku control maisha ya watoto wao. Trust me, wapo wamama wengi sana kama mama Dai. Mtoto wa kiume asipokuwa strong, hatakaa apate mke anayekubalika na mama. Hata akimpata huyo mke ndoa inaweza ikawa inayumba kwasababu ya contol ya mama mkwe kwenye maisha yao. Ile familia ya Tandale inahitaji mwanamke aliye hamnazo, anayeweza kuwavimbia bila uoga wa kupoteza mume. Hamisa wenu hawezi, maana ukiacha kupendwa na mume, inahitajika pia uwe na financial power, mfano wao kama familia wakinunua Prado, we unavuta Range.
 
Hamisa hii legue waachie watandale mnakoenda ni kuaibishana.
Hamisa sijui kwa nini anasumbuka na huyu mchafuzi. Mie naomba kuuliza ni pesa au mapenzi maana dah
Hamisa you are beautiful achana na uswahili tunza watoto wako jenga maisha yako jitunze. Yupo mwanaume aliyeumbwa kwa ajili yako sio mondi na ukoo wake 'malimbukeni'
You can do better than huu ugoro
 
Akili ka hizo wanazipataga baadae..sahivi kupe kapata ng'ombe..
 
sasa mtoto ndo kitega uchumi chake unategemea nini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ma-maza bingwa wa kusafiria nyota za watoto. Sipati picha kama kila mama mwenye mtoto al-maarufu angekuwa mbwatukaji. sisi akina hohehahe tungechimba chini tujifukie
@Mama Kanumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…