Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

We nae jinga kweli harusi ya kuigiza unaamini kweli

Lazima unapata chako kupitia naniliii.. inaelekea ushauri wako unagonga mwamba kila kukicha.. eeeh

Ona unatukana.. ha ha haaaa
Utajua tu vichwa maji na wavivu wapenda kudanga mapugi.
 
Lazima unapata chako kupitia naniliii.. inaelekea ushauri wako unagonga mwamba kila kukicha.. eeeh

Ona unatukana.. ha ha haaaa
Utajua tu vichwa maji na wavivu wapenda kudanga mapugi.
Sawa bibi wa jf coco
 
To be honest huyu maza mi simuelewagi yaani anajishushia heshima.maza kama huyu hakufaa kupost post IG hivo na hata ikibidi hakufaa kuwa na Acc
Yaani TZ nzima kama yeye tu ndio ana mtoto
Najua kuna watu watadhani nimeongea kwa chuki but No,
Hata mama ake kim kardashian mbona ana ki ben ten lakini hua hapost upupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…