Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

Nasikia tatzo ni kile kibenten cha mama daimond kilikuwa kinatoka na mama yake hamisa so mama dangote huwa kama hajiamin hivi may be anahisi mtt wake katumwa kama kurudisha kisasi kupitia kwa diamond.
 
yaani nafurahi hamisa akiumia natamani wamtukanie hadi mavu.zi yake nyamafu kabisa
 


Haujanielewa, nimesema Zari ni mzuri shinda wanawake wooooote ambao Diamond katembea nao, mbona hata hao wenyewe wanajuwa hilo?
 
Nenda kamuoe wewe jamani kwani mmekatazwa!!

Kitanda usicholalia hujui kunguni wake![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]


Naona una matatizo ya kiakili tu, unajifanya huelewi vitu. Nimekuambia nataka kuoa Zari? This shows how pathetic you are, usiwe na hasira za kijinga mtoto wa kike, jiamini.
 
Naona una matatizo ya kiakili tu, unajifanya huelewi vitu. Nimekuambia nataka kuoa Zari? This shows how pathetic you are, usiwe na hasira za kijinga mtoto wa kike, jiamini.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]nani mwenye hasira sasaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]!!!

Wanaume wa Dar bwana!!!
 
Wanaume wa dar wengi ni team zari.
Wanamkubali zari sababu ana mihela.
Wanajua wakipata dem type ya zari wametoboza
Ndomana mipovu inawatoka
Eti mwanamke bora
Mwanamke bora kwa kumuacha mumewe waliehustle from the tip na kufuata kiben10?
Eti ooh sababu alinicheat, sasa uyo diamond mbona kamcheat na kumdhalilisha juu na bado kamganda?
Hivi hamisa angekuwa na porn video si ndo mngemuona mavi kabisa?
Yani wanatumia vigezo vya kipumbavu sana kumuona zari ndo
Mwanamke alaf hamisa sio.
Eti zari anajielewa sijui anajua maisha upumbavu mtupu ningekubaliana na hilo kama angekuwa na ivon mpaka siku anakufa hapo ndo angemdate diamond.
Nyie wanaume wa dar cjui ni nani aliyewaroga aisee
 
Mama mzaa chema mwache atambe!
 
Hongera sana mama nasibu!
 
Kaa mwanangu kampenda siwezi muingilia,huwezi jua anaifurahia ile harufu ya mikojo

Yeye mbona daimond hakumuingilia asiolewe na kibenten unadhani daimond alifurahia??


Kuna wanawake wengine si wa kuoa kwani wanaleta mikosi ndani ya familia na hili nafikiri Mama Diamond analijuwa na ndiyo maana alimtimua yule mtoto anayejikojolea kitandani bado.
 
Uswahili tu,anatimiza ndiyo aliyoiota siku nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…