Mama Diamond, Wolper wafunika kwenye video mpya ya Diamond

Alianza na nikifa kesho akaja na je utanipenda ? Inayofuata ni usia sasa safari inakaribia ya kanumba yanajirudia
 
Ushaanza kuweuka, kwahiyo akiimba maadui wake wote magasho kiba ataanza kutatuliwa linda??? maana inaonekana kila atachoimba kitatokea hahahahahaha

Pepo mchafu Ushindwe
 
Anaimba kufakufa tu tatizo nn kashakosea mashariti nini??
 
Inaonyesha wewe ni mtaalamu sana wa hivi vitu hadi wajua kuna masharti,vp kiba kapewa masharti gani ????

Mkuu wafa maji wanatapatapa, yeye anaamini Chibu anatumia ndumba afu bushman anaamini chibu anahonga kila mtu na lake

Je UTANIPENDA?
 
Masharti mengine aliyopewa ni kama kubinua mku.ndu wakati wa show na kukatikia mashabiki
Babu tale si alisema clouds au umesahau??
 
Video nimeielewa vya kutosha but audio kwangu ziiii, sijui vile nimezoea za kuchezeka!!??

Mi safari hii sijapenda vyote tu audio na video, sijui labda kwavile nilipenda Nana so hii naona hamna kitu
 
Mkuu wafa maji wanatapatapa, yeye anaamini Chibu anatumia ndumba afu bushman anaamini chibu anahonga kila mtu na lake

Je UTANIPENDA?
Nyie wezi angalia hapa
c67a028aa4c532004c97b673d42f68d2.jpg
fa68945cf9f3b890d589243932fcb1ae.jpg

angalia hapo mlivyohonga sasa mlishindaje mzee Kidingi samsun kedrick
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama unataka nyimbo za kuchezeka huwezi kusema umeuelewa huu... Huku ndiko alikotokea Diamond, na ndio tuliko mpendea saaaana kabla hajaanza na za kuchangamka kama Moyo wangu...! Mashabiki tunahitaji tucheze, na tupate kitu cha taratiiibu cha kuimba at the sama time maana sio kila muda unakuwa na mood moja

Na huu wimbo umemuongezea sana mashabiki hasa wa kike, suala la kuimba na kuwafanya hadi wansume walie sio dogo kabisaa..

upo saw a mkuu
 
Shikamooo da ngote ukweli uw a ukosei umelenga maisha yanavyo kuwa after kufulia na hili limekuwa sugu sana marafiki wa Leo ukiwa nazo ndo mahadui wako Wa kesho

jamaa kajitahidi kiukweli
 
Nyie wezi angalia hapa
c67a028aa4c532004c97b673d42f68d2.jpg
fa68945cf9f3b890d589243932fcb1ae.jpg

angalia hapo mlivyohonga sasa mlishindaje mzee Kidingi samsun@kedrick

Kwanza kabisa kati ya tuzo huwezi kusema nituzo hizo kwahiyo hatukuipa uzito wowote waliokuwa wakipiga ni kwa kujifurahisha tu..!! binafsi sijapiga hata kura moja hapo..!!

Cha pili upigaji haukuwa wa insta pekee, ulikuwa ni insta, twitter, facebook, na website.. we umeleta insta pekee umeangalia kwingine??

cha tatu, mshindi haamuliwi asilimia zote na kura za mitandaoni kwasababu wapuuzi wengine wanaweza hata wakapigia jiwe kura kwa mahaba yao binafsi.. kiufupi bushman hakustahili hata kushindania hapo na tuzo ya stylish male artist ameshinda EDDY japo hamzidi diamond kwenye fashion hata kidogo..

Na jokate na kiba hahahaha wana ustylish upi??? kusema washindanena zari na diamond ni vichekesho tu hivii..

BUT VYOVYOTE VILE, kwa team wasafi hii kwetu sio tuzo na hata tungepata mia huwezi kuona hata KIFESI anapost coz haina hadhi ndio maana wengi wetu hatukuwahi hata kuhashtag..

MTVMAMA, MTVEMA, BET, na kuendelea ndio matawi hayoo
 
Last edited by a moderator:
nifah cute b hivi mpo kwei?? daaaaah kwa mfano nikifunguka ya moyoni kuwa nimewamiss mpaka naumwa Je MTANIPENDA???
 
Huu unafiki umevuka mipaka,nakujua vizuri hunipi shida.....
Poleeeee
 
Ninayosema yana maana,
kwamaana hakuna anayejuwa kesho,
Anaepanga ni Rabana
Sababu ameificha ni confidential
 
Kwanza kabisa kati ya tuzo huwezi kusema nituzo hizo kwahiyo hatukuipa uzito wowote waliokuwa wakipiga ni kwa kujifurahisha tu..!! binafsi sijapiga hata kura moja hapo..!!

Cha pili upigaji haukuwa wa insta pekee, ulikuwa ni insta, twitter, facebook, na website.. we umeleta insta pekee umeangalia kwingine??

cha tatu, mshindi haamuliwi asilimia zote na kura za mitandaoni kwasababu wapuuzi wengine wanaweza hata wakapigia jiwe kura kwa mahaba yao binafsi.. kiufupi bushman hakustahili hata kushindania hapo na tuzo ya stylish male artist ameshinda EDDY japo hamzidi diamond kwenye fashion hata kidogo..

Na jokate na kiba hahahaha wana ustylish upi??? kusema washindanena zari na diamond ni vichekesho tu hivii..

BUT VYOVYOTE VILE, kwa team wasafi hii kwetu sio tuzo na hata tungepata mia huwezi kuona hata KIFESI anapost coz haina hadhi ndio maana wengi wetu hatukuwahi hata kuhashtag..

MTVMAMA, MTVEMA, BET, na kuendelea ndio matawi hayoo
Umeona hilo gap kwanza hata uhesabu za Facebook Twitter tunaongoza sema fitna tu
 
We mtu unadhani wao wanategemea kura yako tu kuamua pia na wao wanavigezo vyao baada ya kura, kama wewe unaamini ktk fitna hebu tuambie kiba kapitisha fitina gani aliyowafanya wandaaji wasiwaingize hata sauti sol wa nchini mwao kwenye hicho kinyang'anyiro cha tuzo za nzumari ?????@pwilo
 
Masharti mengine aliyopewa ni kama kubinua mku.ndu wakati wa show na kukatikia mashabiki
Babu tale si alisema clouds au umesahau??
Unadhani kwa wewe kutukana ndio kutamfanya DIAMOND awe chini na huyo kiba awe juu,kiba atakuwa juu kwa bidii zake si kwa nyinyi kutukana na hii inaonyesha jinsi gani mumenyooshwa mushakosa hoja za kimuziki mumeamua kutukana ili kujipunguzia maumivu. Muungwana hatukani mambo ya jukwaani yanaishia jukwaani
1014-280913101256-630822.jpeg
 
Back
Top Bottom