mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 760
- 1,037
Yap,ni mtu na nusu huyu,Mungu amuweke🙏Waziri Gwajima yupo vizuri sana, binafsi namkubali sana. ⭐⭐⭐⭐⭐
Yap,ni mtu na nusu huyu,Mungu amuweke🙏Waziri Gwajima yupo vizuri sana, binafsi namkubali sana. ⭐⭐⭐⭐⭐
Anajua wabongo wengi vichwa maji ukija kiboya anakujibu kibwege,anaupiga mwingiHuyu mama sikuwa nampenda hapo kabla.
Lakini ameonesha kuwa karibu na raia kuliko waziri mwingine yeyote. Ni waziri pekee ambaye anasave namba za raia wema wanaompa taarifa za mambo yanayohusu wizara yake.
Shida wabongo wanamfanyia dhihaka na utani kwenye page zake, jambo ambalo linaweza kumfanya aone hakuna haja ya kuwasogelea wananchi.
All in all, ameupiga mwingi mpaka golini
Ni kweli, lakini kuna haja ya watu kujitathminiAnajua wabongo wengi vichwa maji ukija kiboya anakujibu kibwege,anaupiga mwingi
Daah tutaumia sana tukimkosa Bi Mkubwa maana Anajua kusimamia haswa masuala ya ustawi wa jamiiSamia atamtoa kwenye uwaziri siku sio nyingi, Samia hataki kuona kiongozi aliyemteua yeye anapendwa na watu kuliko anavyopendwa yeye. Mfano Slaa kipindi anashughurikia mambo ya Ardhi etc
Well said MkuuMama D Gwajima ndo Mtanganyika halisi aliye baki kwenye baraza la mawaziri hakika mama anakubalika mno kwa raia. Hata ukiwa chawa wake bado utaonekana una akili timamu kwa maana unayemsifia unaona wazi kabisa anafanya vyema.
Usiandike hivi utasababisha aondolewe kwenye nafasi yake. Huwa wakubwa hawapendi kuona kuna wengine wanasifiwa.
Tutaandamana akimtoaSamia atamtoa kwenye uwaziri siku sio nyingi, Samia hataki kuona kiongozi aliyemteua yeye anapendwa na watu kuliko anavyopendwa yeye. Mfano Slaa kipindi anashughurikia mambo ya Ardhi etc
Zimo sasa??😁😁.Tutaandamana akimtoa