Mama Dorothy Gwajima: Tunu ya Utumishi wa Umma na Mlezi wa Jamii

Samia atamtoa kwenye uwaziri siku sio nyingi, Samia hataki kuona kiongozi aliyemteua yeye anapendwa na watu kuliko anavyopendwa yeye. Mfano Slaa kipindi anashughurikia mambo ya Ardhi etc
 
Mama D Gwajima ndo Mtanganyika halisi aliye baki kwenye baraza la mawaziri hakika mama anakubalika mno kwa raia. Hata ukiwa chawa wake bado utaonekana una akili timamu kwa maana unayemsifia unaona wazi kabisa anafanya vyema.
 
Anajua wabongo wengi vichwa maji ukija kiboya anakujibu kibwege,anaupiga mwingi
 
Ananikumbusha Mh. Fenela Mukandala na nywele zao ambazo hazichukui muda wala fedha katika matunzo...
 
Samia atamtoa kwenye uwaziri siku sio nyingi, Samia hataki kuona kiongozi aliyemteua yeye anapendwa na watu kuliko anavyopendwa yeye. Mfano Slaa kipindi anashughurikia mambo ya Ardhi etc
Daah tutaumia sana tukimkosa Bi Mkubwa maana Anajua kusimamia haswa masuala ya ustawi wa jamii
 
Mama D Gwajima ndo Mtanganyika halisi aliye baki kwenye baraza la mawaziri hakika mama anakubalika mno kwa raia. Hata ukiwa chawa wake bado utaonekana una akili timamu kwa maana unayemsifia unaona wazi kabisa anafanya vyema.
Well said Mkuu
 
Samia atamtoa kwenye uwaziri siku sio nyingi, Samia hataki kuona kiongozi aliyemteua yeye anapendwa na watu kuliko anavyopendwa yeye. Mfano Slaa kipindi anashughurikia mambo ya Ardhi etc
Tutaandamana akimtoa
 
FIkiria unapata waziri wa mambo ya ndani anakuwa hivi,waziri wa katiba na sheria,waziri wa nyumba maendeleo na makazi,hizi ni wizara zinazogusa jamii moja kwa moja kama ya mama gwajima.
Yaani wasioogopa kupewa changamoto za wananchi wanaowahudumia kama huyu.

Tungekuwa sehemu flani hivi yenye hewa safi sio juu sana ila angarau,mama yetu huyu Mungu amtunze sana na kuendelea kumjaza hekima zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…