Mama, fanya hivi Mtoto akibadilika ghafla na kuwa kiburi, bange, pombe!

Mama, fanya hivi Mtoto akibadilika ghafla na kuwa kiburi, bange, pombe!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Siri ya mayai ya kienyeji na mkojo wa mama kwa mtoto mtundu,mkorofi,kiburi....

Mayai 3.

Kama mwanako amebadilika gafla

Ameanza kuvuta bangi.
Kunywa pombe
Kulewa.
Wizi.
Yaani tabia zote mbaya mbaya zenye hupendi.

Kama mama mzazi amka mapema

Andaa mayai 3.

Weka matone ya mkojo wa kwanza Asubuhi.

From 12am up 6am hio ndio mkojo wa asubuhi.

Yakoroge ile rojo weka chumvi na uweke manuizi haya.

Mm fulani wa fulani natumia hii dawa kwa fulani wa fulani mm kama mamake nilimbeba miezi 9 naamuru nguvu za nature zilizopo kwenye huu mkojo na siri ya hii chumvi kukomesha tabia mbaya mbaya anayo fanya huyu fulani wa fulani mtoto wangu basi kuanzia leo naza hio tabia.

Baada ya hapo kaanga mpee ale

Rudia kila siku mara moja kwa siku 3 mfululizo.

Hapa nature itakuondolea hio mikosi.

NATURE WORKS!,UZUNGU WETU UNATUFANYA KUSHINDWA KUFAHAMU GAVANA ZA ASILI...MWISHOWE MITOTO HII INAKUJA KUTUCHINJA.....
 
usikute hata mleta mada ni waziri wa wizara kubwa na yuko responsible na majukumu ya wizara nzima, anahusika kwenye bajeti ya wizara na anapaswa kutatua au kuja na suluhisho la matatizo ya nchi.

Lord have mercy ....
 
Picha, linaanza na hiyo avatar yako!!
 
Yaaniii walisha mwanao mikojoo ... nawe uzeekapo akikulisha ukatambuaa si itakuwa balaaa

Kwa nyendo hizi ni muhimu sana kuhakikisha mezani mwala chakula kwa kupakua pamojaaaa ...... usipende chakula cha peke ako peke akooo
 
Mara nyingi maccm ni watu wa hovyo tu, don't take their advice seriously.
Uchama tuweke pembeni, hili ni desturi ya kiafrika,wewe kijana wako unaweza mpigia maombi tu.😃!
Tunavyozidi kuzitupa desturi zetu ndivyo jamii zetu zitakavyofyatuka!..
 
usikute hata mleta mada ni waziri wa wizara kubwa na yuko responsible na majukumu ya wizara nzima, anahusika kwenye bajeti ya wizara na anapaswa kutatua au kuja na suluhisho la matatizo ya nchi.

Lord have mercy ....
Mimi ni mfia mila na desturi zetu,ninyi zitupeni tu,labda ajabu hapo imekuwa tone tatu za mkojo,wenzetu wachina hunywa mikojo haswa!..ni tiba zao.
 
Ni matumaini yangu Mods wataufuta huu uzi, kwa sababu wakiuacha kuna wanawake wenye akili chafu watatulisha waume zao walevi vitu vya ajabu.
Aisee kweli, hawa viumbe sio wa kuwaamini kabisa. Ndo sababu unaambiwa uoe mwanamke mwenye dini la sivyo, jiandae kula chochote atakachoambiwa kinaweza kumfanya akukalie
 
Aisee kweli, hawa viumbe sio wa kuwaamini kabisa. Ndo sababu unaambiwa uoe mwanamke mwenye dini la sivyo, jiandae kula chochote atakachoambiwa kinaweza kumfanya akukalie
Kuna mwanamke mmoja akiambiwa na mganga kuwa alitaka mume wake atulie amlishe paja la kuku alilofutia uchi wake. Kweli yule mama alifanya hivyo 🥲
 
Back
Top Bottom