Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Picha, linaanza na hiyo avatar yako!!Siri ya mayai ya kienyeji na mkojo wa mama kwa mtoto mtundu,mkorofi,kiburi....
Mayai 3.
Kama mwanako amebadilika gafla
Ameanza kuvuta bangi.
Kunywa pombe
Kulewa.
Wizi.
Yaani tabia zote mbaya mbaya zenye hupendi.
Kama mama mzazi amka mapema
Andaa mayai 3.
Weka matone ya mkojo wa kwanza Asubuhi.
From 12am up 6am hio ndio mkojo wa asubuhi.
Yakoroge ile rojo weka chumvi na uweke manuizi haya.
Mm fulani wa fulani natumia hii dawa kwa fulani wa fulani mm kama mamake nilimbeba miezi 9 naamuru nguvu za nature zilizopo kwenye huu mkojo na siri ya hii chumvi kukomesha tabia mbaya mbaya anayo fanya huyu fulani wa fulani mtoto wangu basi kuanzia leo naza hio tabia.
Baada ya hapo kaanga mpee ale
Rudia kila siku mara moja kwa siku 3 mfululizo.
Hapa nature itakuondolea hio mikosi.
NATURE WORKS!,UZUNGU WETU UNATUFANYA KUSHINDWA KUFAHAMU GAVANA ZA ASILI...MWISHOWE MITOTO HII INAKUJA KUTUCHINJA.....
Haifanyi kazi kwa lizee zima lililokomaa!π,kwa vijana 8-15.Ni matumaini yangu Mods wataufuta huu uzi, kwa sababu wakiuacha kuna wanawake wenye akili chafu watatulisha waume zao walevi vitu vya ajabu.
Uchama tuweke pembeni, hili ni desturi ya kiafrika,wewe kijana wako unaweza mpigia maombi tu.π!Mara nyingi maccm ni watu wa hovyo tu, don't take their advice seriously.
Imekaa njema sana.Haifanyi kazi kwa lizee zima lililokomaa!π,kwa vijana 8-15.
Mimi ni mfia mila na desturi zetu,ninyi zitupeni tu,labda ajabu hapo imekuwa tone tatu za mkojo,wenzetu wachina hunywa mikojo haswa!..ni tiba zao.usikute hata mleta mada ni waziri wa wizara kubwa na yuko responsible na majukumu ya wizara nzima, anahusika kwenye bajeti ya wizara na anapaswa kutatua au kuja na suluhisho la matatizo ya nchi.
Lord have mercy ....
Aisee kweli, hawa viumbe sio wa kuwaamini kabisa. Ndo sababu unaambiwa uoe mwanamke mwenye dini la sivyo, jiandae kula chochote atakachoambiwa kinaweza kumfanya akukalieNi matumaini yangu Mods wataufuta huu uzi, kwa sababu wakiuacha kuna wanawake wenye akili chafu watatulisha waume zao walevi vitu vya ajabu.
Kuna mwanamke mmoja akiambiwa na mganga kuwa alitaka mume wake atulie amlishe paja la kuku alilofutia uchi wake. Kweli yule mama alifanya hivyo π₯²Aisee kweli, hawa viumbe sio wa kuwaamini kabisa. Ndo sababu unaambiwa uoe mwanamke mwenye dini la sivyo, jiandae kula chochote atakachoambiwa kinaweza kumfanya akukalie