SureAende zake huko unguja, arusha siyo kwenu tuachie wenyewe tutajua namna ya kumuadabishaa
Alitaka afie hapo?Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Mama Fatma Karume amesema amepokea kwa mshtuko taarifa ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 23, 2025, hususan kuondolewa Paul Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Akizungumza leo Juni 24, 2025 katika Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Fatma amesema;
“Nilishtuka sana… mmh basi, lakini mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Nikapata habari nikawaambia nikakumbuka pia, hayo yapo… lakini nataka niseme neno moja, sijui ni siri? (akiimba) Tunae na Makonda tunae mkoa huu… na koti tutamvika… tutampeleka kwingine atusemee mkoa huu,” amesema huku ukumbini washiriki wakiangua vicheko.
Soma,pia: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri
View attachment 3381401
Chanzo: Mwananchi
Nchi ya wajinga wengi inatawaliwa na wajingaVijana ccm - mkuu wa wilaya - mkuu wa mkoa - mbunge - waziri - next ?
Sasa mama yetu ,ameshangazwa na nini ,aliemuondoa ndie aliemchagua, na wenda ndie anaenda kumpa mamlaka makubwa zaidi kuliko aliyokua nayo sasa .mama atelie na kuendelea kula pesa za ruzuku za wenza wa viongoziMke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Mama Fatma Karume amesema amepokea kwa mshtuko taarifa ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 23, 2025, hususan kuondolewa Paul Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Akizungumza leo Juni 24, 2025 katika Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Fatma amesema;
“Nilishtuka sana… mmh basi, lakini mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Nikapata habari nikawaambia nikakumbuka pia, hayo yapo… lakini nataka niseme neno moja, sijui ni siri? (akiimba) Tunae na Makonda tunae mkoa huu… na koti tutamvika… tutampeleka kwingine atusemee mkoa huu,” amesema huku ukumbini washiriki wakiangua vicheko.
Soma,pia: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri
View attachment 3381401
Chanzo: Mwananchi
Huyu mama naye ponjoro?Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Mama Fatma Karume amesema amepokea kwa mshtuko taarifa ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 23, 2025, hususan kuondolewa Paul Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Akizungumza leo Juni 24, 2025 katika Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Fatma amesema;
“Nilishtuka sana… mmh basi, lakini mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Nikapata habari nikawaambia nikakumbuka pia, hayo yapo… lakini nataka niseme neno moja, sijui ni siri? (akiimba) Tunae na Makonda tunae mkoa huu… na koti tutamvika… tutampeleka kwingine atusemee mkoa huu,” amesema huku ukumbini washiriki wakiangua vicheko.
Soma,pia: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri
View attachment 3381401
Chanzo: Mwananchi
aende zake, arusha siyo kwao, si kwa wazanzibari ni kwa watanganyikaMke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Mama Fatma Karume amesema amepokea kwa mshtuko taarifa ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 23, 2025, hususan kuondolewa Paul Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Akizungumza leo Juni 24, 2025 katika Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Fatma amesema;
“Nilishtuka sana… mmh basi, lakini mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Nikapata habari nikawaambia nikakumbuka pia, hayo yapo… lakini nataka niseme neno moja, sijui ni siri? (akiimba) Tunae na Makonda tunae mkoa huu… na koti tutamvika… tutampeleka kwingine atusemee mkoa huu,” amesema huku ukumbini washiriki wakiangua vicheko.
Soma,pia: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri
View attachment 3381401
Chanzo: Mwananchi
Hajui kwamba kaondolewa kwa sababu anaenda kutafuta nafasi ya kugombea ubunge.Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Mama Fatma Karume amesema amepokea kwa mshtuko taarifa ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 23, 2025, hususan kuondolewa Paul Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Akizungumza leo Juni 24, 2025 katika Jukwaa la Wanawake lililofanyika jijini Arusha, Fatma amesema;
“Nilishtuka sana… mmh basi, lakini mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Nikapata habari nikawaambia nikakumbuka pia, hayo yapo… lakini nataka niseme neno moja, sijui ni siri? (akiimba) Tunae na Makonda tunae mkoa huu… na koti tutamvika… tutampeleka kwingine atusemee mkoa huu,” amesema huku ukumbini washiriki wakiangua vicheko.
Soma,pia: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri
View attachment 3381401
Chanzo: Mwananchi
😍😍Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Mama Fatma Karume amesema amepokea kwa mshtuko taarifa ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 23, 2025, hususan kuondolewa Paul Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.