Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Kwahio hapa walaumiwe Arsenal?Hili ndilo ninaloliona, hakuna jingine. Mtanzania atajificha kwenye kivuli cha taratibu,sijui mkataba ila target ni moja tu. Furaha mtanzania mwenzake anapofeli.
Vp, huyu hakuuzunishi kwa maisha anayopitia baada ya soka? Au ndo zile za Watanzania ni wajinga, ukiwalipa vizuri wanatapanya.
View attachment 2534797
Embu tuma na picha ya duka lake la mabegi tumlinganishe na yule nyota wa Yanga. Halafu hakuna sehemu nimeilaumu Yanga, ni angalizo tu nimetoa kwa wanamichezo wala ugali na sukari.Kwahio hapa walaumiwe Arsenal?View attachment 2535013
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Utopolo wasivyokuwa na akili watakataa Fei hawajahi kula ugali na sukariMama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.
👉 Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC
👉 Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
👉 Kumbe Feitoto akiwa Yanga alikuwa bado anaomba hela ya kula home! Huo mshahara alikuwa anapata kweli?
Angalia video zote 2 umsikie Bi-maza akielezea mambo machache kati ya mengi.
Leo ndiyo marejeo ya shauri la Feisali Vs Yanga SC pale Karume zilipo ofisi za TFF majira ya saa 4 asubuhi hii.
NB: Wale waliongea na wapenzi na mashabiki wa Yanga pale Mbagala Zakhiem wakatoa ahadi ya marejeo ya klabuni waliongea na nani?
Mama Fei ni mama wa Familia yote ya Yanga na wadau wote wa mpira kwa kutuzalia mchezaji muhimu wa mpira. Lakini amekosea sana mama kuomba huruma itumike katika maamuzi ya kesi ya mwanawe. Anasahau kuwa maamuzi ya kesi hii kesi ni muhimu sana na yanasubiriwa na wadau wengi sana wa mpira sio tz tu bali Afrika na dunia. maamuzi ya kesi hii yatatumika kuamua kesi nyingine nyingi za aina hii. Anasahau kuwa hata kule Simba kuna wachezaji wazawa ambao wanatamani walipwe mshahara mkubwa sawa na wageni kama Chama, Inonga, Baleke, Phiri, kanoute, nk. Wanafuatilia kwa makini maamuzi ya kesi hii. Mama amekosa mshauri makini asingeropoka kama vile kuhusu mwanae. Mwanae yuko kwenye mkataba halali na Yanga mpaka 2024, mkataba ambao mwanae alisaini akiwa na akili zake timamu. Watu wa Znz wasitumie uzanzibar kwenye kesi hii. Baada ya kuwa nje ya Yanga kwa miezi kadhaa sasa Yanga imedhihirisha kuwa ni kubwa kuliko Fei. Yanga imeendelea na unbeaten zake bila Fei. Yanga kwa sasa haimtaki Fei kwenye mafanikio yake bali itamng'ang'ania Fei ili kulinda heshima ya viongozi, wanachama, wachezaji na mashabiki wa Yanga tu baaaaasi!! hadi pale Fei na watu wake watakapofuata njia halali na salama za uhamisho wa Fei kwa mujibu wa taratibu za transfer za wachezaji.Mama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.
👉 Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC
👉 Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
👉 Kumbe Feitoto akiwa Yanga alikuwa bado anaomba hela ya kula home! Huo mshahara alikuwa anapata kweli?
Angalia video zote 2 umsikie Bi-maza akielezea mambo machache kati ya mengi.
Leo ndiyo marejeo ya shauri la Feisali Vs Yanga SC pale Karume zilipo ofisi za TFF majira ya saa 4 asubuhi hii.
NB: Wale waliongea na wapenzi na mashabiki wa Yanga pale Mbagala Zakhiem wakatoa ahadi ya marejeo ya klabuni waliongea na nani?
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂Kuna mengi nyuma ya hii mikataba.
Kama maisha yalikuwa mabovu hivyo kwanini alikubali kusaini mkataba mpya na Yanga? Huu ni uongo na upuuzi kwa wasomaji wa jf. Kila mtu mwenye akili timamu anahoji kwanini Fei aliongeza mkataba mpya na Yanga kama alikuwa akiteseka kama mama yake alivyosikika akisema. Ina maana Fei na mama yake wote wana mtindio wa ubongo basi.Kipindi cha Mwinyi Zahera Yanga walikuwa jalalani wanakula Ugali na picha ya samaki,chai na picha ya bwana sukari.
Unaambiwa mnapimiwa sukari na Kocha Ili isiishe wakina Tshishimbi wakakosa,mboga walikuwa wanachangia bakuli wawili wawili, Fei na Morison, Mauya na mapinduzi Balama.
Maisha aliyopitia fei ni magumu sana kuna muda nilikuwa nampa nauli aende mazoezini na Boda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], kama kweli vile aisee.. ngoja tuone mwisho wakeMMku
Wazungu wameshatuzunguka wametoa copy ya Feisal....mmoja TFF mahakamani mmoja kambini!
Km unaskia uchungu kajifungue,unaweza kunambia kipindi yuko Jku alikua analipwa shilingi ngapi?[emoji23]Inatia uchungu sana
Kama Fei analipwa 4m anakula ugali na sukari hali ipoje kwa Muzamili kiungo punda mama yake anakula ugali na nini sasa!Mama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.
[emoji117] Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC
[emoji117] Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
[emoji117] Kumbe Feitoto akiwa Yanga alikuwa bado anaomba hela ya kula home! Huo mshahara alikuwa anapata kweli?
Angalia video zote 2 umsikie Bi-maza akielezea mambo machache kati ya mengi.
Leo ndiyo marejeo ya shauri la Feisali Vs Yanga SC pale Karume zilipo ofisi za TFF majira ya saa 4 asubuhi hii.
NB: Wale waliongea na wapenzi na mashabiki wa Yanga pale Mbagala Zakhiem wakatoa ahadi ya marejeo ya klabuni waliongea na nani?
Labda Jku alikuwa analipwa 7m na inawezekana mama alikiwa anakula mabiliabi. Sasa kama ni hivyo angebakia hukohuko JKUKm unaskia uchungu kajifungue,unaweza kunambia kipindi yuko Jku alikua analipwa shilingi ngapi?[emoji23]
Kwahiyo tukubali kuwa kupanda bodaboda si mpaka uwe masikini.....hivyo fei kupanda boda akielekea mazoezini si kwasababu hakuwa na pesaMmoja anapanda Bodaboda Ni Tajiri mwingine ni Mimi na wewe
Fei na migoli yote hiyo uliotufunga sio wa kupanda bodaboda
Labda Jku alikuwa analipwa 7m na inawezekana mama alikiwa anakula mabiliabi. Sasa kama ni hivyo angebakia hukohuko JKU
Endelea kulialia kagonga mwamba tena. Soma uzi huuUnahama. Hoja sio ugali na mboga anayotumia. Hoja ni wewe kushangilia kufeli kwake.
Sijui na vigelegele unapiga? View attachment 2534923
Kajifungie chumbani upige vigelegele kwa ushindi uliopata.Endelea kulialia kagonga mwamba tena. Soma uzi huu
Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo tarehe 2 Machi, 2023 kwa ajili ya kusikiliza pamoja na mambo mengine shauri la mapitio (Review) ya uamuzi wake wa tarehe 9 Januari 2023 kati ya Feisal Salumu na Klabu ya Young Africans kama...www.jamiiforums.com
CC Bantu Lady
Utopolo wana dhambi sanaMama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.