Mama Fei Toto: Fei aliwahi kula ugali na sukari Yanga

Nyie ndiyo wanaume mkiachishwa kazi, mnakuja kulia lia humu.
Huyu kaka ni mwanaume wa shoka. Hachagui kazi wala kitu cha kufanya.
Mnamfanya kama kumdhalilisha, ila ni bonge moja la mwanaume, popote ataishi.
Sisi ni wale wanaume tunaopenda kuona kipaji kikimnufaisha mwenye kipaji hata uzeeni.
 
Acha tabia ya ku-edit post za watu.
Nenda kanisemee kwa mods. Halafu sijaedit, nimefuta maneno yako yasiyo na hoja wangu na kuacha lenye hoja. KUSHANGILIA MATATIZO YA MWINGINE.
 
Nyie ndiyo wanaume mkiachishwa kazi, mnakuja kulia lia humu.
Huyu kaka ni mwanaume wa shoka. Hachagui kazi wala kitu cha kufanya.
Mnamfanya kama kumdhalilisha, ila ni bonge moja la mwanaume, popote ataishi.
Yaani mtu kaamua kupambana na maisha jinsi yanavyokuja, yeye anamdhalilisha kwa kuona anachokifanya ni bure. Watu kama hawa akina Tsh wakipigwa na maisha wanarudi kwa wazazi, badala ya kupambana.
 
Unajitahidi kujificha ili usionekane ukishangilia ila unaonekana.
 
Mama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.

👉 Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC

👉 Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.

👉 Kumbe Feitoto akiwa Yanga alikuwa bado anaomba hela ya kula home! Huo mshahara alikuwa anapata kweli?

Angalia video zote 2 umsikie Bi-maza akielezea mambo machache kati ya mengi.

Leo ndiyo marejeo ya shauri la Feisali Vs Yanga SC pale Karume zilipo ofisi za TFF majira ya saa 4 asubuhi hii.

NB: Wale waliongea na wapenzi na mashabiki wa Yanga pale Mbagala Zakhiem wakatoa ahadi ya marejeo ya klabuni waliongea na nani?

Unapokea 4m kwa mwezi halafu unakula ugali na sukari?? Mimi ukinipa tu 1.5m kwa mwezi ni mwendo wa kula wali /nyama ,supu vyapati vyapati ,pepsi na mwendo wa kuchukua Bolt/Ubber hakuna daladala wala bodaboda...Fei ajiangalie utumiaji wake wa fedha.
 
Post za wote zisomeke kam azilivyoandikwa . Si u-edit uweke unavyotaka wewe wakati wewe si mtuma post. Post unazotuma wewe andika unavyotaka
Sijaedit, nimedeleat maneno yasiyo na maana kwenye hoja ninayotaka uione na kuacha neno lenye maana. "KUSHANGILIA"
 
Hivi unajua maana ya ku-edit? Ku-delete ni one of the actions za ku-edit. Unapo-edit, unaweza ukafuta, ukabadili maneno etc, ilimradi yabebe maana ile ile.
 
Sisi ni wale wanaume tunaopenda kuona kipaji kikimnufaisha mwenye kipaji hata uzeeni.
Kujiwekea akiba na kutumia ela kwa nidhamu, sio sehemu ya wajibu wa muajiri bali mwajiriwa anapaswa yeye mwenyewe kuiandaa kesho yake baada ya kutoka pale alipo.
 
Unahama. Hoja sio ugali na mboga anayotumia. Hoja ni wewe kushangilia kufeli kwake.
Sijui na vigelegele unapiga?
images (8).jpeg
 
Kujiwekea akiba na kutumia ela kwa nidhamu, sio sehemu ya wajibu wa muajiri bali mwajiriwa anapaswa yeye mwenyewe kuiandaa kesho yake baada ya kutoka pale alipo.
Akiba ni baada ya kupata maslahi.
 
Mama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.

👉 Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC

👉 Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.

👉 Kumbe Feitoto akiwa Yanga alikuwa bado anaomba hela ya kula home! Huo mshahara alikuwa anapata kweli?

Angalia video zote 2 umsikie Bi-maza akielezea mambo machache kati ya mengi.

Leo ndiyo marejeo ya shauri la Feisali Vs Yanga SC pale Karume zilipo ofisi za TFF majira ya saa 4 asubuhi hii.

NB: Wale waliongea na wapenzi na mashabiki wa Yanga pale Mbagala Zakhiem wakatoa ahadi ya marejeo ya klabuni waliongea na nani?
F5A67002-8BEB-4A55-B500-9B9B8D448C42.jpeg
 
Akiba ni baada ya kupata maslahi.
Kuna sehemu ambayo analazimishwa kuwa ufanye kazi sehemu fulani hata kama hakuna maslahi? Mbona unahoji kitoto sana, ukiona malipo hayastahiki basi mwambie mwajiri kuwa kwa huu mkataba siwezi kusaini akuongezee pesa au kama umeshausaini mkataba na ukaona maisha yamepanda hivyo hakuna maslahi na wamegoma kukuongezea basi unaacha kazi mkataba wapo ukiisha, kisha unaenda kwenye taasisi nyingine unayoona inalipa zaidi. Hakuna kazi mtu anafanya halafu hapati maslahi
 
Hata mkataba usipoisha unaweza kuacha kazi, kuna sehemu ukifanya hivyo wanakushtaki halafu wakishinda adhabu wanayokupa ni kukulipa mshahara bila kufanya kazi mpaka mkataba uishe huku wafuasi wakishangilia.
 
Hili ndilo ninaloliona, hakuna jingine. Mtanzania atajificha kwenye kivuli cha taratibu,sijui mkataba ila target ni moja tu. Furaha mtanzania mwenzake anapofeli.

Vp, huyu hakuuzunishi kwa maisha anayopitia baada ya soka? Au ndo zile za Watanzania ni wajinga, ukiwalipa vizuri wanatapanya.
View attachment 2534797
Mkuu wewe una matatizo sio bure hasa ulipoingiza hiyo picha ya mchezaji wa zamani wa Yanga. Kwa maana hiyo huyo jamaa ambaye inasemekana alicheza misimu miwili Yanga anauza mishkaki kwa sababu Yanga ndio walisababisha?

Ni wachezaji wangapi waliopita Yanga wamefanikiwa mpaka aonekane huyo pekee kufikia kumfanya reference yako? Kina Ally Mayayi, Shadrack Nsajigwa, Nadir Haroub, Juma Pondamali n.k hao hujawaona au hao Yanga iliamua iwapangie matumizi ya mishahara yao na kuwasimamia career zao?

Hapo sijataka kuongelea maswala ya mkataba kama lengo kuu la thread ambapo nimeona comments zako unaonyesha aidha mweupe kabisa huna unachoelewa au umeamua kujitoa ufahamu
 
Hata mkataba usipoisha unaweza kuacha kazi, kuna sehemu ukifanya hivyo wanakushtaki halafu wakishinda adhabu wanayokupa ni kukulipa mshahara bila kufanya kazi mpaka mkataba uishe huku wafuasi wakishangilia.
Kama sheria ipo hivyo kuwa hata mkataba usiposha unaweza kuacha kazi, basi msaidieni Feitoto kwenda CAS maana kaonewa mno. Msikubali daini haki yake kwa udi na uvumba. Kumbe inawezekana tu kuacha kazi hata kams mkataba haujaisha
 
Hata akibaki hapo akalipwa mshahara ni pesa zenu.
 
Back
Top Bottom