Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Ualimu ni wito , mpira ni biashara.hivi Mil. 4 kumbe ni ndogo sana kw wengine. Mmeshawahi kuuiliza walimu wanaalipwa shilingi ngapi?
Suala kusomesha wadogo zake inahusika nini na club? Huo ni uamuzi wake na mipango yake.
Japo kikubwa ilitakiwa azingatie mkataba wake na timu.