hiyo millon 4 mnaijua mchanganuo wake ? pili maisha ya vibarua yana siri nyng , mm nakula abt 1.....ila kuna muda nakosa nauli napiga lege Makonde to Morocco , sishangai kbsNimeangalia clip ya Baba ake na Fei toto. Mzee anakwambia hawajawahi kula ugali na sukari. Na maisha yao ya sasa yamekuwa bora ukilinganisha na kipindi Fei hajajiunga na Yanga.
Waliomdanganya Fei, peponi hawaendi [emoji28][emoji28]
wanaume hatupend kuonekana wadhaifu hata km tunaumiaMe nilijua ni wahuni tu wametembelea mgongo wa Mama Fei, kumbe ndo mshua wa Fei kabisa yule? basi Fei akili atakuwa amechukua kwa mama yake..!
unayajua maisha ya camera tu ila huju maisha yake halisLabda kama demu wake alikuwa na mimba akapata hamu ya kula ugali sukari,otherwise aombe radhi
Usikute na wewe ni wale wale vichwa flat! Yaani mnaacha kula ugali na mboga, badala yake mnakula ugali na sukari!wew ndo huna akili , ipo sukari ya kupima 100 hadi 500 pia mboga inahitaj mafuta viungo na hata moto ( mkaa ) , kuna muda unakuwa na sukar ndan ila huna ela ya mboga , ushabiki usiwatie uchiz mnawaona wachezaj uwanjan au kweny tv ila hamjui maisha yao
usipend kuhukumu usiyoyajua , ww unatumia assumptions ila ukwel wanaujua wao , ushabiki usikutie uzombieMama Feisal ni Mjinga
unakula bure ? inaonekana unakaa kwa shem , mikataba ya maofisi ina siri nying sn , ukute hata hiyo 4M halipwi , kuna maisha ya kweny Tv na maisha halisi , msikilize huyo mama , mbishie km unaishi nae nyumba moja km sio bas tulia acha uswahiliUsikute na wewe ni wale wale vichwa flat! Yaani mnaacha kula ugali na mboga, badala yake mnakula ugali na sukari!
Hivi hata madhara ya kula sukari hovyo mnayafahamu kweli!!
Huo mchanganuo sio shida za Yanga na hata hiyo yako 1, sio shida za boss wako. Unajua kwa nn?hiyo millon 4 mnaijua mchanganuo wake ? pili maisha ya vibarua yana siri nyng , mm nakula abt 1.....ila kuna muda nakosa nauli napiga lege Makonde to Morocco , sishanga
huyo Fei ukute kuna mengu huyajui anaogopa kuongea huenda yatawagusa hata walio nje ya mgogoro huu , hz story zikufumbue akili sasaUsikute na wewe ni wale wale vichwa flat! Yaani mnaacha kula ugali na mboga, badala yake mnakula ugali na sukari!
Hivi hata madhara ya kula sukari hovyo mnayafahamu kweli!!
pamoja na hayo ila Fei ni mpumbavu... ni praqctically impossible kwamba fei alikua anakula ugali kwa sukari.wew ndo huna akili , ipo sukari ya kupima 100 hadi 500 pia mboga inahitaj mafuta viungo na hata moto ( mkaa ) , kuna muda unakuwa na sukar ndan ila huna ela ya mboga , ushabiki usiwatie uchiz mnawaona wachezaj uwanjan au kweny tv ila hamjui maisha yao
wew ndo huna akili , ipo sukari ya kupima 100 hadi 500 pia mboga inahitaj mafuta viungo na hata moto ( mkaa ) , kuna muda unakuwa na sukar ndan ila huna ela ya mboga , ushabiki usiwatie uchiz mnawaona wachezaj uwanjan au kweny tv ila hamjui maisha yao
Sasa kama hiyo milioni 4 alikuwa halipwi yeye, si angejitokeza hadharani na kutuambia alikuwa analipwa nani?unakula bure ? inaonekana unakaa kwa shem , mikataba ya maofisi ina siri nying sn , ukute hata hiyo 4M halipwi , kuna maisha ya kweny Tv na maisha halisi , msikilize huyo mama , mbishie km unaishi nae nyumba moja km sio bas tulia acha uswahili
Muonjeshe kitimoto kidogo aache kurumangia ugali na sukari.Mama alaaniwe, na mtoto wake naye alaaniwe.
Itapendeza akichutama apanue na miguu.Mungu awatie nguvu wapambanaji wenzangu katika kutafuta mkate wa kila siku hakika amani ya bwana iwe nanyi.
Naaam twende kwenye lengo kuu lakuandika huu uzi maridhawa kabisa katika sekta yetu pendwa ya michezo hata huu mpira wa miguu unaojiongezea mashabiki nakukua kila baada ya muda.
Ndiyo, hapa Kati Kati kumetokea mgogoro baina ya yanga na mchezaji wao feisal salum abdallah "feitoto' Kama anavyotambulika katika tasnia hii ya mpira wetu wa miguu.
Kabla ya kuelekea kusikiliza kesi ya feisal pale ofisi za TFF, Mama mzazi wa feisal aliibuka nakuongea habari zisizo na mashiko yoyote akilalamika kuwa tff itende haki kwani mtoto wake kateseka sana yanga imefikia hatua ya kula ugali akilumagia na sukari.
Hicho kilichozungumzwa hapo na mama mzazi wa feisal hakika ni uongo asilimia mia kabisa hakuna kitu Kama hicho nakataa.
Kupitia watu wangu wakaribu Kabisa ndani ya yanga wanaoshinda na wachezaji ndani ya klabu, wamenithibitishia hakuna kitu Kama hicho Bali hizo ni propaganda tu zilizo tengenezwa kwa nia ovu kabisa kwa lengo la kuichafua yanga.
Mama feisal hakika umevunja uhusiano Kati ya timu na wewe na pia kwa mashabiki wote wa yanga na wampira kwa ujumla
Hivyo basi, yakupasa kutuomba radhi mashabiki na viongozi wote wa yanga hakika utasuuza nafsi inawezekana ulichozungumza ni propaganda zilizosukwa na watu chochezi kwa nia ovu kabisa ili kuihujumu yanga.
Ni matumaini Yangu watu wema waliokaribu na mama mzazi watamfikishia hizi habari ili achutame na kukiri alipokosea.
Hizo laana kama hawastahiki zitarudi kwa aliezotoa.Mama alaaniwe, na mtoto wake naye alaaniwe.
Unataka tujadili Nini???Hahahahaaa!! CCM inapenda sna mambo haya. Vijana kujadili
Bamia ukinunua leo zinaisha Ila sukari atakula hata siku 5Mama ameonekana ana akili ndogo mpaka inahuzunisha. Hivi katika hali ya kawaida kabisa unapataje hela ya kununulia sukari ili ulie na ugali, halafu ukose hela ya kununulia mboga za bei nafuu kabisa kama bamia, nyanya chungu, mchicha, dagaa, nk. ili kulia na huo ugali!!
Mbaya zaidi hakuna mji wenye bei nafuu ya chakula kama Dar!! Yaani kabisa ulipwe milioni 4 kwa mwezi, halafu ushindie ugali na sukari!! Kuna watu hapa duniani hawana hata shukrani.
Tena sanaYule mama katukosea sana watz